Dargoods.tz

Dargoods.tz Online store kwaajili ya products mbalimbali za kisasa ambazo hazipatikani sehemu nyingine yoyote dar zaidi ya hapa.

21/08/2023
04/08/2023

🎯🎯 Hii hapa SMART SLINGSH0T💥💥
✔ Manati ya kisasa yenye mwanga wa Laser kuonyesha target bila kukosea kulenga .

✔ Inakusaidia kulenga kitu kwa usahihi (100% Accuracy ).🎯

✔ Muundo wake wa kisasa Unaweza kwenda nayo popote. (Professional design).

✔ Unapata ofa ya pamoja na gololi 100.🎱

✔ Unaweza kubadilisha mipira yake.

✔Imara, Haivunjiki na unaweza kutumia kwa michezo au ulinzi.

📣Tshs 35,000 ( Ukinunua Leo) 🛒🛒
Dargoods Online shop
Lipia baada ya kupokea bidhaa kwa DAR PEKEE
☎️0652638588 call/whatsapp.

29/03/2023

Tshs 35,000

17/02/2023

😱 Universal Strong Super Glue! 🌟🌟🌟🌟
📌Kwa matone machache tu, unaweza kurekebisha kitu chochote kwa haraka na kwa urahisi.
📌Yenye Ujazo 50Mls/g
📌Plastic,Mbao,Ngozi,Chuma haijalishi ni ndogo au kubwa jinsi gani! Ni nzuri kwa marekebisho ya haraka nyumbani.
📌 Universal Super Glue ni thabiti, inafanya kazi haraka na hudumu kwa muda mrefu. Zaidi ya hayo, ni salama kwa matumizi popote.
📣Bei Tsh 25,000/= utaipata Dargoods pekee.
Ijaribu leo

07/12/2022

😱 CAR TURBO SOUND 😱
🚀 Kifaa cha kisasa kubadlisha sauti ya mngurumo wa gari lako kuwa turbo.
✔Kama umechoka kisikia sauti ile ile ya gari lako basi hii hapa CAR TURBO SOUND CHANGER.
✔Ni rahisi kuiweka na kubadili sauti/mlio ya gari/pikipiki papo hapo.
✔Fanya gari ionekane ina engine yenye nguvu😎.
📣TZS 29,000 tuu.

Order yako mapema, utalipia ukipokea kifaa chako.

18/11/2022

🤩PORTABLE USB BRACELET CABLE🤩
▪Chaja cable ya kipekee ya kuvaa mkononi
▪Hakuna haja ya kutembea na cable ndefu/nyingi ukiwa na hii smart bracelet cable popote.
▪Ni material ya ngozi na sio rahisi kuharibika k**a cable zingine.
▪Ni bracelet na hapo hapo ni charging cable🌟🌟
Kwa Tshs 25,000.

17/11/2022

🤩 2 in 1 T55 SMARTWATCH🤩
▪Smart watch hii toleo jipya inakuja na mikanda miwili na earbuds(earphone) za kusikuliza mziki.
▪Unaunganisha na simu yoyote(android & iphone) kwa bluetooth
▪Full touch screen
▪Social media zote unazipata ndani ya saa.
▪SMS na simu zako unazipata kupitia saa yako ukiwa mbali (haitumii laini).
▪Mazoezi na vitu vingine unaweza kufanya kupitia saa hii.
TZS 65,000 ofa ya sasa ( badala ya 89,000).
Agiza yako sasa,utaletewa pale ulipo bila gharama(dsm).

27/10/2022
27/10/2022

🤩 Hii hapa Game Pad ya Watoto🤩
✔Zaidi ya Games 400 ndani.
✔Zawadi nzuri sana kwa mtoto.
✔Mtoto atafurahi kucheza games mbalimbali bila kuharibu simu yako😊
✔Uzuri unaweza kucheza zaidi ya wawili na ukaunganisha na TV
✔Ni ya kuchaji na sio touch screen.
TZS 55,000 tuu (ofa ya sasa)📣
Call/Whatsapp 0652638588
Order your now.

27/10/2022

Wow..😱Foldable Mosquito Net😱
✔Hakuna haja ya kuangaika, ukitaka kulala
✔Rahisi kutumia net hii wakati wa kuweka na kutoa.
✔Neti hii unaweza kwenda nayo popote nje au ndani ya nyumba🔥
✔Unaweza kuifua bila changamoto yoyote.
Medium size (130cm x 190cm)
Tshs 45,000
📣 NO MORE MOSQUITOES

Address

Oysterbay
Dar Es Salaam

Telephone

+255652638588

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dargoods.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dargoods.tz:

Share