spiffy_tz

spiffy_tz Apparel & more 🛍️
Wauzaji wa mavazi na mashuka rejareja & jumla

Wapendwa wateja wetu tunapenda kuwataarifu kuwa sasa huduma ya LIPA NAMBA imewezeshwa. Karibuni sana
29/08/2023

Wapendwa wateja wetu tunapenda kuwataarifu kuwa sasa huduma ya LIPA NAMBA imewezeshwa. Karibuni sana

  Wateja wetu hii ni namna nyingine ya kuvaa hizi silk scarfs; tusikariri fashion 😅Do not have a boring wardrobe ladies!...
30/07/2023

Wateja wetu hii ni namna nyingine ya kuvaa hizi silk scarfs; tusikariri fashion 😅
Do not have a boring wardrobe ladies!
Wapendwa wateja wetu, tumewaletea mzigo mpya wa silk scarf 👌
Material yake ni nzuri sana, very soft na designs ni classy.
Price: Tshs. 6,000/=

How to style our silk scarfs 👌Let's slay together queens✨Scarfs ni kubwa na material ni nzuri sana.
30/07/2023

How to style our silk scarfs 👌
Let's slay together queens✨
Scarfs ni kubwa na material ni nzuri sana.

Karibu ujipatie mashuka mazuri na mazito kwa bei nafuuMaterial: 100% cotton ya UgandaIdadi: shuka 2 na foronya 4 Size: 8...
28/07/2023

Karibu ujipatie mashuka mazuri na mazito kwa bei nafuu
Material: 100% cotton ya Uganda
Idadi: shuka 2 na foronya 4
Size: 8x8
Quality: nzito, nzuri, hazichuji, hazitelezi wala kutoa vipele.
💰Bei: Rejareja Tsh 45,000/= Jumla 40,000/= kuanzia 3
☎️Wasiliana nasi: 0735 343982/ 0745 343982
📍Location: Tegeta (karibu na Kibo Complex)
🚚 Delivery: ipo kwa gharama ya mteja

Wapendwa karibuni mitandio mizuri, mikubwa na quality nzuri 👌Unaweza tu kujitandia kuendana na nguo yako au pia kuvaa be...
18/03/2023

Wapendwa karibuni mitandio mizuri, mikubwa na quality nzuri 👌
Unaweza tu kujitandia kuendana na nguo yako au pia kuvaa beach (beach shawl)
Bei: rejareja tshs. 12,000/= na jumla ni tshs. 10,000/= kuanzia 3
☎️0745343982/0735343982

📌 Material hii sio ile nyepesi kabisa k**a scarf za shingoni hii ni twill fabric ili kuifanya imara zaidi na soft

Address

Tegeta (near Kibo Complex)
Dar Es Salaam

Telephone

+255735343982

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when spiffy_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share