NIM-Fashion

NIM-Fashion When you buy for us we will be very happy also our prices are low for those in the region we are sending, welcome

MAISHA NI MAOMBI‎"Hata Uonekane Umekauka na Kufa, Usiogope, Utachipua Tena" ‎‎Ayubu 14:7 "Kwani yako matumaini ya mti, y...
11/11/2025

MAISHA NI MAOMBI

‎"Hata Uonekane Umekauka na Kufa, Usiogope, Utachipua Tena"

‎Ayubu 14:7 "Kwani yako matumaini ya mti, ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma."

‎Katika Maisha haya, kuna wakati Mtu anaweza kupitia wakati mgumu hadi anahisi hakuna maisha tena. Hali yake inakuwa haina tofauti na mti uliokauka katika hali ya kiangazi Jangwani.

‎Inawezekana mtu mmoja hapa anapitia hali ngumu ambayo haoni tumaini mbele, huenda ni ugonjwa, Inawezekana ni madeni, Inawezekana ni mahusiano, Inawezekana ni ndoa, Inawezekana ni mambo ya familia, Inawezekana ni nguvu za giza, Inawezekana ni maisha magumu, Je ni jambo gani gumu unalipitia?

‎Usihofu, endelea kumtazama Mungu kwa Imani, bado kuna maji ya uzima kutoka kwa Yesu, zidi kumtumaini yeye, nawe Utachipua na Kustawi Tena. Kwa Mungu yote yanawezekana.

NAKUTAKIA SIKU NJEMA YENYE KUJAA BARAKA ZA BWANA NA MATUMAINI.

28/10/2025
25/07/2025

👏

Ni Tarakimu
24/06/2025

Ni Tarakimu

"Majaribu makubwa mara nyingi yanatokana na rehema kuu ; kwamba majaribu makubwa yanapaswa kuvumiliwa kwa saburi ; na kw...
30/04/2025

"Majaribu makubwa mara nyingi yanatokana na rehema kuu ; kwamba majaribu makubwa yanapaswa kuvumiliwa kwa saburi ; na kwamba majaribu makubwa yawe na mwisho wenye baraka, Omba na kuomba ushindi ni uwakika ni kwa Maombi pekee mbingu zinafunguka"

Tufate inuka Tena Tv, stay connected!!!

*Majaribu makubwa mara nyingi yanatokana na rehema kuu ; kwamba majaribu makubwa yanapaswa kuvumiliwa kwa saburi ; na kw...
30/04/2025

*Majaribu makubwa mara nyingi yanatokana na rehema kuu ; kwamba majaribu makubwa yanapaswa kuvumiliwa kwa saburi ; na kwamba majaribu makubwa yawe na mwisho wenye baraka, Omba na kuomba ushindi ni uwakika ni kwa Maombi pekee mbingu zinafunguka*

*Tufate inuka Tena Tv, stay connected!!!*

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255745221213

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NIM-Fashion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NIM-Fashion:

Share