Verrosa collections

Verrosa collections The secret of business is to know something that nobody else knows🔑

Upo mkoa wenye asili ya baridi na unamtoto mdogo, jitahidi usikose heavy romper uzuri wa heavy romper haitahitaji umvish...
12/09/2025

Upo mkoa wenye asili ya baridi na unamtoto mdogo, jitahidi usikose heavy romper uzuri wa heavy romper haitahitaji umvishe nguo nyingine ndani zenyewe peke ake zinatosha kumkinga mtoto na baridi

Hizo ni feedback za wateja wangu ✨ usisubiri mpaka sold out njoo sasa.😎

12,000/= #0713529780
11/09/2025

12,000/=

#0713529780

Zinabeba kwanzia kg 5.5-20kg 30,000/=
23/08/2025

Zinabeba kwanzia kg 5.5-20kg

30,000/=

Receiving blanket kwa Kiswahili unaweza kuita “blanket ya kumpokea mtoto” au “blanketi ya mtoto mchanga”.Ni ile blanketi...
22/08/2025

Receiving blanket kwa Kiswahili unaweza kuita “blanket ya kumpokea mtoto” au “blanketi ya mtoto mchanga”.
Ni ile blanketi nyepesi laini ambayo hutumika kumfunika, kumbembeleza au hata kumshika mtoto mara baada ya kuzaliwa. 👶✨

ni Kubwa

Bei 8,000/ kwa moja 24,000 kwa tatu

BabyBjörn Baby carrier ORIGINAL airmesh • Imeidhinishwa na wataalamu – imetengenezwa kwa ushirikiano wa karibu na madakt...
21/08/2025

BabyBjörn Baby carrier ORIGINAL airmesh

• Imeidhinishwa na wataalamu – imetengenezwa kwa ushirikiano wa karibu na madaktari kuhakikisha usalama na afya ya mtoto.
• Inafuata maumbile ya mtoto – inatoa msaada sahihi kwa kichwa, shingo, mgongo na nyonga.
• Inasaidia ukuaji wa mtoto – inamruhusu kusogeza mikono na miguu kwa uhuru, kukuza misuli, ustadi wa mwili na usawa.
• Chaguo la kubeba – unaweza kumbeba mbele akiwa amekuelekea wewe au akielekea mbele (kutoka miezi 5+).
• Material ya ubora – imetengenezwa kwa 3D polyester mesh inayopitisha hewa vizuri, inamfanya mtoto awe baridi na hukauka haraka baada ya kuoshwa.

Umri na kilo
Kwanzia mtoto mchanga mpaka mwaka mmoja (3.5kg-12kg)

Bei 40,000/=

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 20:30
Tuesday 07:00 - 20:30
Wednesday 07:00 - 20:30
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255713529780

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Verrosa collections posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Verrosa collections:

Share