20/05/2026
TAHADHARI KWA WATEJA WETU
Kun Hii ☝️account inayotumia picha na video zet kujifanya inahusiana nasi au biashara yetu. Napenda kuwajulisha kuwa HATUNA UHUSIANO WOWOTE na account hiyo wala shughuli zinazofanywa kupitia account hiyo.
Tafadhali msifanye malipo, oda au mawasiliano yoyote kupitia account hiyo bila kuthibitisha moja kwa moja kupitia namba na account yetu rasmi aidha Account Zet za bank za TSH na USD zote Majina ni EMO KCL FISH EXPORT na +255744866725 EMEDI M***A EMEDI Kwa Namba ya simu
Kuweni Makini
Asanteni kwa ushirikiano na uelewa wenu 🙏