02/07/2024
WANAWAKE HUVUTIWA ZAIDI NA HAYA MAMBO KWA MWANAUME...
1. PESA
🎯Ukiwa na pesa wanawake wote unaweza wachukua maana Huvutiwa na hela sana. Haijalishi una sura gani ila ukiwa na pesa tu basi unaweza kupata mwanamke ye yote ambaye unamtaka. Ndivyo walivyo hawa viumbe 😂
2. THAMANI YA MTU
K**a vile ambavyo nimesema wengi huvutiwa na pesa vivyo hivyo huvutiwa na mwanaume ambaye ana thamani kubwa katika jamii. Lengo la kuvutiwa na watu wa hivi ni kwa lengo la wao kuuza sura zao katika jamii.
3. JINA
Wanawake huvutiwa na watu wenye majina, ukiwa na jina tu wanawake hujileta wenyewe, tena wao ndio watakutaka. Mfano angalia watu maarufu wakipanda jukwaani kudumbuiza utaona lundo la wadada wakigombania.
4. MAMLAKA AU NGUVU
Pia wanawake wengi huvutiwa na watu wenye mamlaka au vyeo katika nyadhifa tofauti tofauti. Huwa wanapenda hivyo kwa lengo la kuuza, yani watu waseme ile ni pisi ya kiongozi bana au yeye mwenyewe ajitambulishe mimi ni mtu wake kiongozi fulani au mume wake na fulani.
5. USHAWISHI/INFLUENCE
Ukiwa na ushawishi kwenye jamii basi wanawake wengi utawapata bila hata kutumia nguvu. Watakuja wenyewe tu, watakutaka wao na sio wewe maana huwa wanapenda kuuza.
6. AKILI
Yes, ukiwa na akili tu utapendwa wew😂, K**a ni shuleni basi kila mdada atataka awe kwenye group lako au mkae wote ku discuss. Ndio maana watu wenye akili mashuleni huwa hawapati tabu kuhusu wanawake labda wasiamue tu. Ndivyo walivyo hawa viumbe 😂
Kwa hiyo ukitaka wapishane kwako kuwa na kimoja kati ya hivyo...
Ila ukikosa vitu vyote hapo baba sahau watoto kukukimbilia, jiandae kuwafukuzia😂...
Nimeeleweka?
Tuishi humo ndugu zangu....
Nakupenda ❤️
№:+255742590541
Email:[email protected]