Tuffcube

Tuffcube COME AND BUY YOUR DREAM GADGET WITH US๏ฟฝ

JE, WAJUA?๐Ÿค”Mwaka jana mwishoni, tetesi za Umoja wa nchi za Ulaya kuweka sheria ya simu zote kuwa na port ya USB-C ili ku...
03/11/2022

JE, WAJUA?๐Ÿค”
Mwaka jana mwishoni, tetesi za Umoja wa nchi za Ulaya kuweka sheria ya simu zote kuwa na port ya USB-C ili kuweka umoja wa cable na kupunguza takataka za kielektroniki: Apple ilikuwa ni kampuni ambayo ilipata changamoto kwa sababu haitumii port ya USB-C katika simu zake za iPhone.

Kampuni nyingi hasa za simu za Android mfano Infinix, Samsung, Google, Nokia, Motorola, Oppo, Vivo, n.k tayari zimehamia kwenye port ya USB-C.

Tetesi za mwanzo zilionyesha Apple italazimika kuweka port ya USB-C katika iPhone. Na tayari Apple ilikuwa imeanza majaribio ya kiufundi katika iPhone 13 na iPhone 14.

Jana uthibitisho umetoka rasmi ndani ya kampuni ya Apple. Mtendaji mkuu wa Apple - Greg Joswiak na Craig Federighi ambaye ni Makamu wa Rais mkuu wa Masoko wamethibitisha katika Interview ya Wall Street Journal kuwa Apple inaweka USB-C kwenye iPhone ili kuendana na kanuni mpya za EU.

Inaonekana iPhone 15 ndio itakuwa iPhone ya kwanza kuwa na USB-C!

Credits: .tek

OFFERโ€ผ๏ธ OFFERโ€ผ๏ธ OFFERโ€ผ๏ธ Brand New iPhone X Price Down๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ“64GB || TZS 650.000/-โœ…๐Ÿ“256GB || TZS 750.000/-โœ…All Of Our Phones...
27/10/2022

OFFERโ€ผ๏ธ OFFERโ€ผ๏ธ OFFERโ€ผ๏ธ

Brand New iPhone X Price Down๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“64GB || TZS 650.000/-โœ…

๐Ÿ“256GB || TZS 750.000/-โœ…

All Of Our Phones Come With A Full 1 Year Apple Verified Warranty Card โœ…

BONUS: Free Cover + Free Protector ๐Ÿ˜

Mikoa Yote Tanzania na Nchi Jirani Tunatuma Bidhaa Zetu Kwa Njia ya Bus, Ndege Pamoja na EMS ๐ŸšŒโœˆ๏ธ


โ˜Ž๏ธWhatsapp/Call : +255 622 873 709
+255 622 873 709

iPHONES || AirPODS || ๏ฃฟ WATCHES]] iPHONES || AirPODS || ๏ฃฟ WATCHES]] iPHONES || AirPODS || ๏ฃฟ WATCHES]]

JE WAJUA?Tayari iPhone 14 zimetoka na sasa mipango mipya inaelekezwa katika iPhone 15 za mwakani. Tetesi mpya zinaonyesh...
10/10/2022

JE WAJUA?
Tayari iPhone 14 zimetoka na sasa mipango mipya inaelekezwa katika iPhone 15 za mwakani.

Tetesi mpya zinaonyesha Apple inajipanga kubadili brand ya iPhone Pro Max ambayo imezoeleka kuwa model kubwa ya iPhone.

Mwakani Apple ina malengo ya kuanzisha iPhone Ultra ambayo itakuwa ni model ambayo itatoka badala ya iPhone Pro Max. Model hii itakuwa na USB-C, hata iPhone 15 Pro inasemekana itakuwa na USB-C.

Pia iPhone Ultra itakuwa na uwezo mkubwa na kioo kikubwa zaidi ya iPhone Pro. Itakuwa na kamera mbili za Selfie ambazo zina uwezo wa kurekodi 8K. Storage yake itaanza kwa 256GB lakini iPhone 15 Pro itaanza kwa 128GB.

Mwaka huu Apple imetoa brand mpya ya Apple Watch Ultra; na mwaka jana ilitoa chip yenye nguvu zaidi ya M1 Ultra; jina la Ultra ndio jina ambalo litachukua sura mpya katika bidhaa za Apple ambazo zina ubora.

Hivyo model mpya za iPhone ni:

๐Ÿ”˜ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฑ
๐Ÿ”˜ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฑ ๐—ฃ๐—น๐˜‚๐˜€
๐Ÿ”˜ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฑ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ผ
๐Ÿ”˜ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฑ ๐—จ๐—น๐˜๐—ฟ๐—ฎ

Wengi tumezoea kuona jina hilo likitumika na Samsung na Xiaomi mfano Galaxy S22 Ultra.

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

Credits:

SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธ SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธBrand New iPhone ๏ฃฟ 14โ€™s SERIES NOW IN STOCK๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ BRAND NEW iPHONE 14๐Ÿ“128GB || TZ...
20/09/2022

SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธ SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธ

Brand New iPhone ๏ฃฟ 14โ€™s SERIES NOW IN STOCK๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

BRAND NEW iPHONE 14
๐Ÿ“128GB || TZS 2.600.000/-โœ…

๐Ÿ“256GB || TZS 2.800.000/-โœ…

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

BRAND NEW iPHONE 14 PRO
๐Ÿ“128GB || TZS 3.600.000/-โœ…

๐Ÿ“256GB || TZS 3.800.000/-โœ…

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

BRAND NEW iPHONE 14 PRO MAX
๐Ÿ“128GB || TZS 4.300.000/-โœ…

๐Ÿ“256GB || TZS 4.650.000/-โœ…

All Of Our Phones Come With A Full 1 Year Warranty โœ…โœ…


โ˜Ž๏ธWhatsapp/Call : +255 622 873 709

MIKOA YOTE TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA๐Ÿค

JE WAJUA?Kuanzia Jumatatu saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wataanza kupata mfumo mpya wa iOS 16. ...
13/09/2022

JE WAJUA?
Kuanzia Jumatatu saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wataanza kupata mfumo mpya wa iOS 16.

iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15.

๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿญ๐Ÿฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ:

๐Ÿ”˜ Mwonekano mpya

๐Ÿ”˜ Sehemu ya Lock Screen itakuwa na uwezo wa kubadilika kuendana na mtumiaji anavyotaka katika design mbalimbali. Kwa mara ya kwanza Apple inaweka option ya kubadilisha aina ya fonts za saa ya Lock Screen, unaweza kuweka emoji, weather na map kuwa wallpaper.

๐Ÿ”˜ Sehemu ya Lock Screen itakuwa inaonyesha Widgets

๐Ÿ”˜ Watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengeneza Folder ya picha ambayo ipo shared kwa mtumiaji zaidi ya mmoja. Mfano folder ya familia

๐Ÿ”˜ iMessage ina uwezo wa ku-edit message

๐Ÿ”˜ iMessage ina uwezo wa kufuta message ambayo umeituma

๐Ÿ”˜ App ya Email ina uwezo wa kufuta email ambayo umeituma na kuchagua itume email muda ambao unataka wewe (schedule send)

๐Ÿ”˜ iOS 16 ina mfumo mpya wa Passkeys. Hii itasaidia kuingia katika website na akaunti zako bila kulazimika kutumia password

๐Ÿ”˜ Photo app ina uwezo wa kutengeneza PNG, unaweza ku-copy sehemu ya picha na inaweza kutambua watu na wanyama. Hivyo unaweza ku copy mtu katika picha bila kuchukua details za piembeni

๐Ÿ”˜ App ya Health ina sehemu ya kuweka kumbukumbu ya kukusaidia kukumbusha kumeza dawa - Medications.

๐Ÿ”˜ Ina uwezo wa kusoma vibao, kubadili currencies, na ina uwezo wa kusoma texts kwa watu wasioweza kuona.

๐Ÿ”˜ Mabadiliko mapya katika apps za Maps, Stocks, FaceTime na apps zote za iPhone.

Na mabadiliko mengi ambayo mengine sijayaweka hapa kwa sababu ni ya kawaida.

Tayari imetoka, jinsi ya kucheck nenda katika sehemu ya
Settings > General > Software Update
kisha utafuata maelekezo.

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธ SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธBrand New iPhone ๏ฃฟ 12 PRO MAX PRICE DOWN๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ“128GB || TZS 2.300.000/-โœ…๐Ÿ“256GB |...
13/09/2022

SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธ SEPTEMBER BIG SALESโ€ผ๏ธ

Brand New iPhone ๏ฃฟ 12 PRO MAX PRICE DOWN๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“128GB || TZS 2.300.000/-โœ…

๐Ÿ“256GB || TZS 2.400.000/-โœ…

All Of Our Phones Come With A Full 1 Year Warranty โœ…โœ…


โ˜Ž๏ธWhatsapp/Call : +255 622 873 709

MIKOA YOTE TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA๐Ÿค

JULY BIG SALESโ€ผ๏ธ JULY BIG SALESโ€ผ๏ธBrand New iPhone ๏ฃฟ 13 PRICE DOWN๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ“128GB || TZS 2.000.000/-โœ…๐Ÿ“256GB || TZS 2.200.000/-โœ…...
13/09/2022

JULY BIG SALESโ€ผ๏ธ JULY BIG SALESโ€ผ๏ธ

Brand New iPhone ๏ฃฟ 13 PRICE DOWN๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“128GB || TZS 2.000.000/-โœ…

๐Ÿ“256GB || TZS 2.200.000/-โœ…

All Of Our Phones Come With A Full 1 Year Warranty โœ…โœ…


โ˜Ž๏ธWhatsapp/Call : +255 622 873 709

MIKOA YOTE TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA๐Ÿค

JE WAJUA?Mwonekano wa iPhone 14 katika sehemu ya Box imevuja, japo bado ni ngumu sana kwa mwonekano mzima wa simu zote k...
31/08/2022

JE WAJUA?
Mwonekano wa iPhone 14 katika sehemu ya Box imevuja, japo bado ni ngumu sana kwa mwonekano mzima wa simu zote kuonekana kwa urahisi lakini tayari picha chache zimeanza kuonyesha baadhi ya mabadiliko.

Jambo la kushangaza, kuna aina mbili tofauti za mwonekano wa iPhone katika sehemu ya notch (FaceID na Selfie Camera).

Mwonekano wa mwanzo umetenganisha kamera na FaceID lakini mwonekano wa pili umeunganisha zote kwa pamoja.

Aina mpya ya kuunganisha FaceID na kamera ya Selfie imeanza kupingwa na watu wengi katika mtandao wa Twitter. Bado siku siku 7 itafahamika rasmi ni mwonekano upo utatoka!

๐Ÿค”๐Ÿค”

JE WAJUA? Mwaka 2017, Apple ilifuta sehemu ya kuonyesha battery percentage katika sehemu ya juu ya Status Bar. Sehemu ya...
21/08/2022

JE WAJUA?
Mwaka 2017, Apple ilifuta sehemu ya kuonyesha battery percentage katika sehemu ya juu ya Status Bar. Sehemu ya betri, haionyeshi asilimia mpaka ku-swipe down kutazama katika Control Center.

๐Ÿ”‹ Apple ilifuta Battery Percentage ilipoanza kutoa iPhone X kwa sababu sehemu ya juu iliwekwa โ€œnotchโ€ (FaceID na Kamera ya Selfie). Kuanzia iPhone X mpaka sasa, watumiaji wa iPhone X mpaka 13 hawawezi kuona Battery percentage kwenye Status Bar.

๐Ÿ“ฒ Mabadiliko mapya ya iOS 16 Beta 5; Apple inarudisha sehemu ya Battery percentage kwa watumiaji wa iPhone. Simu ambazo hazitakuwa na uwezo wa kuonyesha Battery percentage ni iPhone 11, iPhone 12 mini na iPhone 13 mini. Sababu za kutowekwa sehemu hiyo kwa watumiaji wa iPhone mini ni screen ndogo, lakini katika iPhone 11 wengi wamelalamika kwanini itakosa mabadiliko haya.

Kwa watumiaji wa Android, hii ni story ya kawaida sana na hakuna maajabu makubwa. Lakini kwa watumiaji wa iPhone hii inaweza kuwa ni good news kwa sababu itakuwa ni rahisi kuona asilimia ya battery bila kulazimika kutazama katika Control Center.


๐Ÿ”ด Namba zinaonekana kwa mbali sana, bado fonts ni ndogo na space ya kuonyesha battery percentage haitoshi katika icon ya Battery

๐Ÿ”ด Haionekani vizuri katika Wallpaper ambayo ina Background Nyeupe

๐Ÿ”ด Size ya battery haionekani tena; ukiwasha Battery Percentage, kiasi cha charge kilichobaki hakionekani na inaonekana asilimia tu. Icon ya Battery inabaki Full Charger muda wote.

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

JE WAJUA?Tetesi mpya zinaonyesha kampuni ya Apple itatambulisha rasmi iPhone 14 Jumatano ya Tarehe 7; na zitaanza kuingi...
21/08/2022

JE WAJUA?
Tetesi mpya zinaonyesha kampuni ya Apple itatambulisha rasmi iPhone 14 Jumatano ya Tarehe 7; na zitaanza kuingia sokoni siku ya Ijumaa September 16.

tetesi zinaonyesha tayari Apple imetoa taarifa kwa wafanyakazi wake kufahamu ujio wa bidhaa mpya ambazo zitaingia katika Store kuanzia siku ya September 16.

Nadhani ndio kipindi ambacho iOS 16 (mfumo mpya wa iPhone) itaanza kutoka kwa watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14.

๐Ÿค”๐Ÿค”

Address

Mwenge, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuffcube posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share