Dukatz

Dukatz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dukatz, Shopping & retail, Makumbusho, Dar es Salaam.

Kupunguza hatari ya kuugua saratani, hasa saratani ya utumbo mpana, ini, mapafu, matiti, kizazi, damu na saratani ya kon...
26/10/2021

Kupunguza hatari ya kuugua saratani, hasa saratani ya utumbo mpana, ini, mapafu, matiti, kizazi, damu na saratani ya kongosho.

Kuimarisha mzunguko wa damu: kwa miaka mingi mafuta ya habbatus sauda yametumika kwa ajili ya kurekebisha shinikizo kubwa la damu.

Kuleta nafuu kwa magonjwa mbalimbali ya ngozi: Mafuta ya habbatus sauda ni mazuri kwa afya ya ngozi na hayana kemikali mbaya k**a ilivyo kwa mafuta na cream zingine, k**a huna aleji na mafuta haya basi ni muhimu ukafikiria kuanza kuyatumia ili ufurahie faida zake.

Kutibu magonjwa ya mfumo wa chakula k**a kukosa choo kwa muda mrefu ama kupata choo kigumu na pia kutibu bawasili

Kurekebisha mafuta mwili(cholesterol)

Kurekebisha kisukari: Tafiti zinasema kwamba mafuta ya habbatus sauda yana uwezo wa kuimarisha uzalishaji wa seli za bet...
26/10/2021

Kurekebisha kisukari: Tafiti zinasema kwamba mafuta ya habbatus sauda yana uwezo wa kuimarisha uzalishaji wa seli za beta( seli za kwenye kongosho zinazohusika na uzalishaji wa insulini) na pia mafuta haya yanasaidia kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu (serum glucose level).
Hii inawezekana kutokana na kwamba kiambata cha Nigella sativa ni mojawapo ya viambata vichache duniani vinavyosaidia kuzuia aina ya kwanza ya kisukari na ya pili pia

Tafiti pia zinaonesha kwamba black seed inauwezo wa kushusha kisukari k**a ilivyo dawa ya metformin ambayo hutolewa hospitali kwa wagonjwa wa kisukari cha ukubwani.

Tupigie kwa namba 0699420292
24/10/2021

Tupigie kwa namba 0699420292

Je unajua faida za black seed oil kwa mwili wa binadamu?Zifuatazo ni faida za black seed oil kwa mwili wa binadamu1.Huti...
21/10/2021

Je unajua faida za black seed oil kwa mwili wa binadamu?
Zifuatazo ni faida za black seed oil kwa mwili wa binadamu
1.Hutibu mafua na homa kwa kuongeza kinga mwili
2. Huondoa vimbe wa aina yoyote kwenye ngozi(chunusi)
3. Tiba ya fangasi
4. Tiba ya ngozi na kukufanya uwe na mwonekano mzuri
5.Inatibu pumu ( kwa kuua virusi
6.Inaimarisha afya ya moyo na ni tiba nzuri kwa tatizo la kukosa usingizi
7.Inazuia damu kuganda
8. Tiba ya allergy(chafya na mafua yasizoisha)
9. Tiba ya kansa ya ngozi (Melanoma)
10.Tiba ya ugumba kwa kuimarisha afya ya uzazi na kuongeza hamu ya tendo kwa wanaume na wanawake
11. Ni mazuri kwa afya ya nywele kwa nywele zisizo na afya
12.Huondoa hali ya kichefuchef na mvurugiko wa tumbo na ni tiba ya tatizo la mfumo wa mmengenyo wa chakula
13. Tiba ya meno kwa meno yaliyotoboka kulegea
14.Tiba kwa saratani ya matiti, utumbo mpana kwa kuzuia uzalishaji wa seli za kansa
15. Tiba ya Kisukari husaidia kwa utegemezi wa insulin, inasaidia sana watu wenye tatizo la mshtuko wa moyo na kifafa
16. Tiba ya vidonda kooni (tonsil)na kuondoa maumivu ya koo ni tiba ya vidonda ndugu (Methicillin resistant)
Ina vimengenyo viiwili muhimu zaidi ambavyo ni thymoniquinone na thymohydroquin vimengenya hivi viwili vinafanya sababu ya haya mafuta kuwa dawa ya kila gonjwa haoa duniani.
Kwa mahitani ya black seed oil tunayo ile bora (premium quality)
Tupigie kwa namba 0752010491/0699420292

Address

Makumbusho
Dar Es Salaam

Telephone

+255699420292

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dukatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share