BongoStar5Media

BongoStar5Media KARIBUNI SANA

📸 USAJILI mpya katika rangi za Arsenal 🔴⚪🤩✅ Karibu kwenye The Arsenal Christian Mosquera 🔴⚪
24/07/2025

📸 USAJILI mpya katika rangi za Arsenal 🔴⚪🤩✅

Karibu kwenye The Arsenal Christian Mosquera 🔴⚪

24/07/2025

🔥👋👋ZUBIMEND FIRST SCORE👋🔥🔥

Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.- Hulk Hogan alikuwa miongo...
24/07/2025

Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?

Source: BBC Swahili

“Huwa najutia kumpoteza Gerrard (Pique)…! Dunia itaniona kituko ila ndio ukweli unaonitesa muda mwingi…! Sikuwa mwanamke...
24/07/2025

“Huwa najutia kumpoteza Gerrard (Pique)…! Dunia itaniona kituko ila ndio ukweli unaonitesa muda mwingi…! Sikuwa mwanamke mzuri kwenye siku za karibuni…! Sikusimama kwenye nafasi ya mwanamke…! Sikuwa Mke mzuri kwa mume wangu…!”

“G ni mpole lakini alichoshwa na tabia zangu…! Tulikuwa k**a wanaume wawili…! Niliamini naweza kufanya kila kitu mwenyewe na yeye akalea tu watoto kutoka mbali…! Sio kweli…! Kuna furaha naikosa. Hakuna siku mwanaume atakuwa sawa na mimi mwanamke…!”

“Ninajikuta k**a nawaumiza watoto kwa muda fulani…! Katika hasira kubwa ya Pique nilichangia pakubwa…! Kuzingatia kazi pekee bila kumzingatia Baba wa watoto wangu, kurudi nimechoka na kujiona ninaweza kufanya majukumu mengine sikumpa utulivu G na haikuwa ngumu kwake kuniacha dunia inioneshe umuhimu wake…! Ni maumivu”

Shakira, Msanii na mtumbuizaji raia wa colombia 🇨🇴 kuhusu maisha baada ya kuachana na Gerrard Pique 🇪🇸

*🚨...||𝐓𝐇𝐀𝐍𝐊 𝐘𝐎𝐔🔰*Uongozi wa Young Africans Sports Club kupitia Yanga App rasmi wametoa taarifa za kuachana na wachezaji...
23/07/2025

*🚨...||𝐓𝐇𝐀𝐍𝐊 𝐘𝐎𝐔🔰*

Uongozi wa Young Africans Sports Club kupitia Yanga App rasmi wametoa taarifa za kuachana na wachezaji watano kuelekea msimu mpya 2025-2026,Ambao ni;

🇿🇲Clatous Chotta CHAMA
🇺🇬Khalid AUCHO
🇧🇫Stephanie Azizi KI
🇿🇲Kennedy MUSONDA
🇹🇿Jonas Gerald MKUDE

Kila la heri Wananchi 🖐️

ROMAN FOLZ : A new coach in town .....'Kocha jipya mujini..!!!'. Roman Folz ndiye kocha mpya wa Yanga kuanzia sasa...!!!...
23/07/2025

ROMAN FOLZ : A new coach in town .....'Kocha jipya mujini..!!!'.

Roman Folz ndiye kocha mpya wa Yanga kuanzia sasa...!!!

Huyu ni yule aliyekuwa kocha msaidizi wa Mamelodi Sundowns kwa msimu mmoja...na umri wake ni miaka 35.

Je, unamtabiria nini Jangwani!!?

Wachezaji waliohama kutoka Ligi Kuu England kwenda Barcelona Spain!  🔴🔵🔥
23/07/2025

Wachezaji waliohama kutoka Ligi Kuu England kwenda Barcelona Spain! 🔴🔵🔥

𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋Young Africans Sports Club wamemtangaza Abdunasir Mohammed (casemiro) k**a mchezaji wao mpya akitokea timu ya Ml...
23/07/2025

𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋

Young Africans Sports Club wamemtangaza Abdunasir Mohammed (casemiro) k**a mchezaji wao mpya akitokea timu ya Mlandege visiwani Zanzibar.

Klabu ya Simba wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black Stars,Jonathan SowahSimba wamemfuata Sowah na Proj...
23/07/2025

Klabu ya Simba wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black Stars,Jonathan Sowah

Simba wamemfuata Sowah na Project nzuri kijana amekubali na dili limekamilika✅

Rasmi msimu ujao Sowah atavaa jezi ya Mnyama.

What a signing kwa Mnyama Simba🙌

Aliandika

Follow BongoStar5Media

23/07/2025

🔥🔥🔥🔥Technology 🔥🔥🔥🔥

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni Julai 23, 2025.
23/07/2025

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni Julai 23, 2025.

Address

Zanaki Street Posta
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BongoStar5Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share