ngonzi_flavas

ngonzi_flavas Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ngonzi_flavas, Shopping & retail, Tegeta Nyuki market, Dar es Salaam.

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jackrine Josiah, Jumaa Mjelah, Mwlnyi Mzenga, Bahati Saki...
11/10/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jackrine Josiah, Jumaa Mjelah, Mwlnyi Mzenga, Bahati Sakilali, Ramadhani Hamisi Makokoto, Said Kipengele, Impa Mwampamba, Frank Daniel

Ijumaa ni ya mabiryani Tu,ni k**a jumapili ilivyo ya pilau,karibuni dukani kwetu Ngonzi Flava's ujipatie viungo vyote vy...
15/11/2024

Ijumaa ni ya mabiryani Tu,ni k**a jumapili ilivyo ya pilau,karibuni dukani kwetu Ngonzi Flava's ujipatie viungo vyote vya biryani na pilau.

Tupigie 0659 772200/0757 451504

Karibuni dukani kwetu vipo viungo vya ONGA flavors tofauti tofauti k**a vile..... Garlic, Chicken,beef, tomato na mchuzi...
26/07/2024

Karibuni dukani kwetu vipo viungo vya ONGA flavors tofauti tofauti k**a vile..... Garlic, Chicken,beef, tomato na mchuzi.
Tupo tegeta nyuki sokoni soko la nafaka duka namba G 424 Ngonzi Flavas....Piga simu 0659 772200/0757 451504

Kesho si ndio biriyani day?mkuje basi kununua vifaa vya kupikia Hilo biriyani.karibuni Ngonzi Flavas tegeta nyuki sokoni...
20/06/2024

Kesho si ndio biriyani day?mkuje basi kununua vifaa vya kupikia Hilo biriyani.karibuni Ngonzi Flavas tegeta nyuki sokoni duka namba G 424....utapata viungo vingi mpaka ushangae

Karibuni wateja wetu,kuna vitu vya asili original kabisa kwajili ya matumizi ya nyumbani....Kwa wale wenye kitchen party...
16/04/2024

Karibuni wateja wetu,kuna vitu vya asili original kabisa kwajili ya matumizi ya nyumbani....Kwa wale wenye kitchen party hivi karibuni njoo dukani tukuuzie miko,ungo,vibao vya chapati,vibao vya nazi,vinu,vigoda n.k yaani njooni Tu mjionee.

Duka liko tegeta nyuki sokoni Duka no.424.
Piga simu
0659 772200
0757 451505

10/04/2024
Tupo jamani tupooooo,Duka la viungo lipo na mzigo mpya kwajili ya sikukuu upo,kwa wale wanaosafiri kwenda mikoani uje mn...
12/12/2023

Tupo jamani tupooooo,Duka la viungo lipo na mzigo mpya kwajili ya sikukuu upo,kwa wale wanaosafiri kwenda mikoani uje mnunue viungo vya kusafiria muwapike wa mkoani vyakula vitamu vyenye ladha.Duka liko tegeta nyuki sokoni,Duka no.424 Karibuni sana.

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!Jakson Misafi, Manoel Miranda, Solomon Jeremiah, Calista M...
13/07/2023

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard!

Jakson Misafi, Manoel Miranda, Solomon Jeremiah, Calista Mkwama, Yohana Morngan

To all our Muslim friends and customers Eid Mubarak.karibuni sana tumehamia duka la mbele baada ya bucha la samaki duka ...
23/04/2023

To all our Muslim friends and customers Eid Mubarak.karibuni sana tumehamia duka la mbele baada ya bucha la samaki duka no.424
☎️☎️☎️
0659 772200
0757 451504

Kutoka familia yetu hadi kwako, tunakutakia Siku ya Pasaka yenye furaha! Tunatumai kwamba utatumia siku hii maalum na wa...
09/04/2023

Kutoka familia yetu hadi kwako, tunakutakia Siku ya Pasaka yenye furaha! Tunatumai kwamba utatumia siku hii maalum na wapendwa wako, ukiwa mkiwa na furaha, amani, na bila shaka, chakula kizuri.

Karibu Ngonzi Flava's tumalize hitaji lako la viungo,kipindi hichi ya sikukuu tumejiandaa na viungo fresh na vingi,watej...
07/04/2023

Karibu Ngonzi Flava's tumalize hitaji lako la viungo,kipindi hichi ya sikukuu tumejiandaa na viungo fresh na vingi,wateja wengi karibuni Sana duka namba G 424

Kwa mahitaji ya pilipili manga Kali, Safi na ya kunukia  karibu Ngonzi Flavas tukuhudumie....*****Kwa mama anayenyonyesh...
26/01/2023

Kwa mahitaji ya pilipili manga Kali, Safi na ya kunukia karibu Ngonzi Flavas tukuhudumie....
*****Kwa mama anayenyonyesha inasaidia kutoa maziwa*****
*****Kufanya marination kwenye nyama Aina yoyote****
*****Kuweka kwenye salad/kachumbari kwajili ya kuongeza ladha*****
*****Pia unaweza kunyunyizia sehemu yenye panya ili kuwafukuza,harufu yake Kali inafukuza panya****

Karibuni Sana, Tegeta nyuki sokoni ujipatie viungo vya uhakika kutoka kampuni tofauti zinazoaminika.

☎️☎️☎️
0659 772200
0757 451504

Address

Tegeta Nyuki Market
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

0659772200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ngonzi_flavas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ngonzi_flavas:

Share