Jay Jay Collections

Jay Jay Collections Kwa Mahitaji yako ya mapazia, mashuka, sandals za kimasai za k**e na za kiume, wasiliana nasi, tutakupati vitu vyenye ubora kwa bei nafuu.

Okoa fedha na muda wako kwani tutakutumia bidhaa popote ulipo ndani ya Tanzania. Karibu tukuhudumie Popote ulipo Tanzania. Bidhaa zetu zina ubora ambao umelenga kukupunguzia gharama za kununua vitu mara kwa mara, kwani zinadumu. Bidhaa nzuri na bora za kuipendezesha nyumba yako, kutengenezea muonekana smart na nadhifu. Tunakupa kutunza muda wako na kufanya shughuli nyingine za uzalishaji, kwani tu

takuletea bidhaa yako uliyoiagiza, kwa muda muafaka na kwa kiwango ulichotarajia, hatulangui wala kubabaisha, tunajali ubora, muda na kuridhika kwa mteja wetu.

Make your home look more beautiful with our door and window curtains! Get the perfect style for any décor -- all at an a...
25/02/2023

Make your home look more beautiful with our door and window curtains! Get the perfect style for any décor -- all at an affordable price. Shop now and refresh your home without breaking the bank. 🙂

Unapata mwanga na hewa ya kutosha katika chumba chako, huku ukiendelea kutunza uzuri na usiri. Pazia hizi zina linining ...
19/07/2021

Unapata mwanga na hewa ya kutosha katika chumba chako, huku ukiendelea kutunza uzuri na usiri. Pazia hizi zina linining nyepesi zilizodizainiwa kitaalamu kwa lengo hilo. Okoa muda na fedha yako, tuagizie tukufikishie popote ulipo ndani ya Dar, mikoani pia tunatuma - 0714751709

Kila dizaini ipo, lengo ni kukufurahisha mteja wetu na kuifanya nyumba yako kuwa nadhifu, inajenga heshima moyoni mwako ...
15/07/2021

Kila dizaini ipo, lengo ni kukufurahisha mteja wetu na kuifanya nyumba yako kuwa nadhifu, inajenga heshima moyoni mwako na mtaani pia, 😅. Hujawahi kuweka pazia kabisa? Usijali, pata ofa ya kuletewa na fundi wa ukweli kwa bei nzuuri kabisa (Dar), wasiliana nasi kwa ofa hii kabambe ya msimu wa sabasaba!! - 0714751709

Kwenye sandals ndio kabisa, yaani upele umepata mkunaji!! Hatubahatishi! TunaDesign kulingana na hitaji lako mteja wetu,...
14/07/2021

Kwenye sandals ndio kabisa, yaani upele umepata mkunaji!! Hatubahatishi! TunaDesign kulingana na hitaji lako mteja wetu, Tunampa producer kile unachokitaka, na tunahakikisha viwango vimefikiwa ndio tunakuletea sokoni. Kwanini tunafanya hivyo?? Kwasababu yako wewe mteja wetu, tunajali thamani ya pesa yako, tunajali afya yako, hatuwezi kukuvalisha sandal ya kukuumiza unyayo wako halafu ushindwe kutembea, hatupo tu kwa sababu ya kupata fedha, bali kukuhudumia, upendeze, ufurahie huduma yetu, uokoe fedha zako, uonekane nadhifu wakati wote.

Na sasa, kuna OFA Kabambe, Share na Like page zetu za Insta na Facebook, tunakupa punguzo la 5%, na ukimleta rafiki yako, tunakupa punguzo la 5% tena. Unangoja nini rafiki? tuagize tukuhudumie popote ulipo.

Swala la uzuri na kupendezesha nyumba yako, hilo ondoa shaka, k**a unavyoyaona mwenyewe, ni ya ukweli. Lakini, hatujaish...
14/07/2021

Swala la uzuri na kupendezesha nyumba yako, hilo ondoa shaka, k**a unavyoyaona mwenyewe, ni ya ukweli. Lakini, hatujaishia hapo tu, ni imara, yanadumu, hivyo utaepuka kupoteza hela kwa kununua mara kwa mara. Na sasa tumekuongezea ofa, tuFollow Instagram na kuLike page yetu ya Facebook (Jay Jay Collections) utapata punguzo la 5%, share page zetu kwa marafiki zako, wakitu-Follow na kutu-Like, unapata punguzo tena la 5%....yaani ushindwe wewe tu...wahi mapema, OFA HII NI YA MUDA MAALUMU

Yaani ukilalia haya mashuka hata ndoto za ajabu ajabu huzipati. Ni bora, laini na zinakupa amani ya moyo. Okoa fedha zak...
13/07/2021

Yaani ukilalia haya mashuka hata ndoto za ajabu ajabu huzipati. Ni bora, laini na zinakupa amani ya moyo. Okoa fedha zako za kununua mashuka kila mara, nunua haya mashuka, maana yanadumu hata wajukuu watalalia, tupe oda tukuletee ulipo - 0714751709

Umerudi toka kwa 'mishe mishe' zako na uchovu mwingi?? JayJay Collections tunakupa pumziko, karibu jipatie mito laini na...
13/07/2021

Umerudi toka kwa 'mishe mishe' zako na uchovu mwingi?? JayJay Collections tunakupa pumziko, karibu jipatie mito laini na imara. Kwa kutumia mito hii utajipumzisha kwa sofa yako na hata kwa bed yako, na utaondoa uchovu na magonjwa ya viungo, hatimaye kesho yake unaongeza ufanisi katika kazi zako na kukuongezea kipato chako cha kila siku. Lakini pia, nyumba yako itakuwa nadhifu na ya kupendeza kwa jinsi mito hii ilivyodizainiwa vizuri. Weka oda yako sasa kupitia Insta, WhatsApp au FB, na tutakufikia ulipo, bei ni poa hutaamini - 0714 751709

Saa tunazokuletea si kwamba tu zitakusaidia kutunza muda na kuzingatia ratiba zako, ila zinaipendezesha nyumba yako! Ubo...
13/07/2021

Saa tunazokuletea si kwamba tu zitakusaidia kutunza muda na kuzingatia ratiba zako, ila zinaipendezesha nyumba yako! Ubora wa uhakika kwa bei Stahiki, wasiliana nasi tukuhudumie popote ulipo - 0714751709

Address

Ukonga/Kipunguni B
Dar Es Salaam

Telephone

+255714751709

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jay Jay Collections posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jay Jay Collections:

Share