27/08/2022
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako mume wangu mpendwa
Kiukwel nashukuru mungu kwa kuwa na wewe
Naweza ongea mengi mengi sana lkn jua nakupenda zaid ya Sanaa,
Nakutakia maisha marefu na yenye baraka tele ,