10/09/2024
Habari Tanzania.
Ile huduma nzuri yenye majibu yote kwenye biashara ya madawa baridi ya binadamu imekufikia hapa.
Je,
▶️Unatamani kufanya biashara ya Pharmacy au Duka la Dawa Muhimu na hujui wapi unaanzia?
▶️Umekuwa kwenye hii biashara lakini hufanyi vizuri na unatamani biashara yako isimame na kukua?
▶️Unafanya hii biashara lakini umekuwa unapata changamoto ya wauzaji wazuri wenye uzoefu na pia wenye huduma bora kwa wateja?
Hayo na mengine mengi, Pharma Chain ni jibu lako. Tunafanya mengi ikiwemo:
✅️Tunakupa A to Z kuhusu biashara ya madawa, do and don't zote ili ufanye biashara yenye faida.
✅️Tunakusajilia jina la biashara yako na pia ikiwa ni kampuni tunakusajilia na unapata vibali vyote
✅️Tunakusaidia kupata vibali vyote kuanzia Pharmacy Council na TRA pamoja na Manispaa (Leseni)
✅️Tunakusaidia ku design frame yako ya biashara na pia kukufanyia renovation ya kisasa yenye viwango vinavyotakiwa na mamlaka husika. Pia design itakayowavutia wateja
✅️Tunakusaidia kuandaa list ya madawa yote ya kununua hasa kulingana na eneo unapofungua biashara yako. Pia tutakushauri bei sahihi za kuuzia.
✅️Tunakusaidia kuyapata madawa yote unayohitaji kwa bei ambayo huwezi kuipata popote Tanzania. Hii ni pamoja na kukushauri vitu sahihi vya kuweka nje ya madawa, vitu k**a vipodozi, miwani, mints etc kulingana na location ya biashara yako.
✅️Eneo la mwisho na muhimu sana na wauzaji sahihi. Hawa ndio watakaoamua biashara iwepo ama lah. Tunakusaidia kupata muuzaji/wauzaji sahihi wa duka lako pamoja na kukusaidia kupata cheti cha Mfamasia ikiwe wewe sii Mfamasia.
Tunatumia uzoefu wetu wa muda mrefu kwenye biashara hii kuhakikisha unafanikiwa vema kwenye hii biashara ya madawa.