SokoSimpo

SokoSimpo Bidhaa orijino zinazorahisisha maisha kwa bei nafuu zaidi!

21/04/2022
Tajiri namba moja wa dunia, Elon Musk alipoulizwa kuhusu mbinu bora ya kufanikiwa katika biashara, alijibu "Chagua bidha...
21/02/2022

Tajiri namba moja wa dunia, Elon Musk alipoulizwa kuhusu mbinu bora ya kufanikiwa katika biashara, alijibu "Chagua bidhaa nzuri na ya kitofauti"

Sasa tunakupa connection hii ya kutoboa, labda ushindwe wewe tu kwa kujiuliza maswali mengi wakati wenzio wanazidi kupiga hatua kila siku kwenye biashara zao.

Jibebee mzigo wa mashine bora za kunyolea za Dinglong RF - 619 kwa bei ya jumla, kwa kiasi unachotaka na upate faida nzuri (Swipe kusoma sifa zake).

🏍Dar es salaam unaletewa bure (Tupo Mabibo
Makutano, karibu na Makutano Dispensary), na
mkoani mteja atachangia nauli nusu.

Chat nasi DM au bofya link kwenye
bio yetu ku-chat nasi moja kwa moja
kupitia WhatsApp.

Jipatie mswaki wa umemewenye mitetemo 37000 kwa dakika 1itakayofanya usugue na kusafisha menoyako vizuri, haraka na kiur...
20/01/2022

Jipatie mswaki wa umeme
wenye mitetemo 37000 kwa dakika 1
itakayofanya usugue na kusafisha meno
yako vizuri, haraka na kiurahisi zaidi ya
Miswaki ya kawaida.

✔Ni mswaki wa kuchaji kwa
muda wa masaa 4 na chaji
hukaa kwa siku 120 (miezi 4)
kwa mtumiaji anayesugua
mara 2 kwa siku, na siku 240
(miezi 8) kwa mtumiaji anaye
sugua mara 1 kwa siku.

✔Una mitindo mitano ya
usuguaji inayobadilishwa
kwa kubonyeza tu.

✔Pia, una IPx7 Waterproof
inayosaidia kuzuia maji
yasiharibu mswaki.

✔Una automatic timer
inayozima mswaki kila baada
ya sekunde 30 na kuwaka tena
ili kukukumbusha muda
wa kusugua uliotumika na
uliobaki kufikia dakika 2.

✔Unakuja na vichwa viwili;
kila kichwa kinapaswa
kutumika kwa muda wa
miezi 3 kwa mtumiaji
anayesugua meno mara 2
kwa siku, na miezi 6 kwa
mtumiaji anayesugua meno
mara 1 kwa siku.

Na baada ya hapo mtumiaji
atapaswa kubadilishia kichwa
kingine (tutaleta hivi karibuni).

*ZINGATIA: Bidhaa hii ina warranty
ya mwaka 1 na inafaa kutumika
na watu wenye umri wa kuanzia
miaka 6 na kuendelea na watoto
wenye umri wa miaka 4 mpaka
miaka 6 watapaswa kutumia chini
ya usimamizi wa mzazi.

Miliki mswaki huu kwa TSH 30,000/= tu!

🏍Dar es salaam unaletewa bure
na mkoani mteja atachangia nusu
ya nauli.

Chat nasi DM au bofya link kwenye
bio yetu ku-chat nasi moja kwa moja
kupitia WhatsApp.

____________________________________________



Wikiendi ndio inaelekea kuishahivyo! Agiza uipate chap chap na uwekebustani ya ikulu yako katika hali safi nalaini kulik...
08/01/2022

Wikiendi ndio inaelekea kuisha
hivyo! Agiza uipate chap chap na uweke
bustani ya ikulu yako katika hali safi na
laini kuliko unavyofikiri.

Uwezo wa mashine hii kukata kimo kifupi cha
milimita 0.25 unaifanya kuwa nguli katika
kunyoa ndevu, kwapa, kipara safi, pamoja
na mitindo mbali mbali ya nywele.

✓ Ina machaguo mengi ya kunyoa vimo
mbalimbali kupitia vitana vyake vinne.

✓Inakuja na vifaa vyake vyote unavyoviona
pichani vikiwa katika boksi yake.

✓Ni rafiki wa ngozi, haiumizi, haileti
vipele wala michubuko yoyote.

✓Inafaa kutumika na mtu wa umri na
jinsia yoyote.

✓ Chaji kwa masaa 8, tumia kwa dakika 60
bila kuizima.

✓ Brand: Dinglong, Model: RF - 619.

* Ipokee leo leo kwa TSH 35,000/= tu!

🏍Dar es salaam unaletewa bure (Tupo Mabibo
Makutano, karibu na Makutano Dispensary), na
mkoani mteja atachangia nauli nusu.

Chat nasi DM au bofya link kwenye
bio yetu ku-chat nasi moja kwa moja
kupitia WhatsApp.

Ni muda wako wa kukiwasha naSELFIE STICK KIPOTABO mpya yenye taaya 'filters' tatu, Bluetooth ya umbali wampaka mita 10 n...
29/12/2021

Ni muda wako wa kukiwasha na
SELFIE STICK KIPOTABO mpya yenye taa
ya 'filters' tatu, Bluetooth ya umbali wa
mpaka mita 10 na urefu zaidi (inchi 41).

Sasa ni rahisi kupiga picha na video,
kucheza 'game' na kuruka 'live' mtandaoni
bila kushika simu yako wala kumwomba mtu
akushikie na bila kuhofia kuhusu mwanga.

Ubora na uimara wake ni wa uhakika;
imetengenezwa kwa chuma cha pua
(stainless steel - Model: Q02).

Ikamate fasta leo kwa TSH 35,000/= tu.

🏍Dar es salaam unaletewa bure na mkoani
mteja atachangia nusu ya nauli.

Chat nasi DM au bofya link kwenye bio yetu
ku-chat nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp.

KUMBUKA: Zipo chache saanaa!!..

Msimu huu wa sikukuu zamwisho wa mwaka ndio muda sahihi wakuwafurahisha uwapendao kwa zawadiza kipekee zaidi.Karibu   uc...
25/12/2021

Msimu huu wa sikukuu za
mwisho wa mwaka ndio muda sahihi wa
kuwafurahisha uwapendao kwa zawadi
za kipekee zaidi.

Karibu uchague bidhaa
orijino zinazorahisisha maisha kwa
bei nafuu zaidi!

➡Agiza kupitia DM au chat na sisi
kupitia WhatsApp link iliyopo kwenye
bio yetu.

➡Uaminifu na uwazi ndio ngao yetu.

🏍Dar es salaam unaletewa bure na
mkoani mteja atachangia nauli nusu.

Chat nasi DM au bofya link kwenye
bio yetu ku-chat nasi moja kwa moja
kupitia WhatsApp.
_________________________________________________

Mswaki huuuna mitetemo 37000 kwadakika 1 ambayo inafanyausugue na kusafisha menovizuri, haraka na kiurahisizaidi ya Misw...
08/12/2021

Mswaki huu
una mitetemo 37000 kwa
dakika 1 ambayo inafanya
usugue na kusafisha meno
vizuri, haraka na kiurahisi
zaidi ya Miswaki ya kawaida.

✔Ni mswaki wa kuchaji kwa
muda wa masaa 4 na chaji
hukaa kwa siku 120 (miezi 4)
kwa mtumiaji anayesugua
mara 2 kwa siku, na siku 240
(miezi 8) kwa mtumiaji anaye
sugua mara 1 kwa siku.

✔Una mitindo mitano ya
usuguaji inayobadilishwa
kwa kubonyeza tu.

✔Pia, una IPx7 Waterproof
inayosaidia kuzuia maji
yasiharibu mswaki.

✔Una automatic timer
inayozima mswaki kila baada
ya sekunde 30 na kuwaka tena
ili kukukumbusha muda
wa kusugua uliotumika na
uliobaki kufikia dakika 2.

✔Unakuja na vichwa viwili;
kila kichwa kinapaswa
kutumika kwa muda wa
miezi 3 kwa mtumiaji
anayesugua meno mara 2
kwa siku, na miezi 6 kwa
mtumiaji anayesugua meno
mara 1 kwa siku.

Na baada ya hapo mtumiaji
atapaswa kubadilishia kichwa
kingine (tutaleta hivi karibuni).

*ZINGATIA: Bidhaa hii ina warranty
ya mwaka 1 na inafaa kutumika
na watu wenye umri wa kuanzia
miaka 6 na kuendelea na watoto
wenye umri wa miaka 4 mpaka
miaka 6 watapaswa kutumia chini
ya usimamizi wa mzazi.

Miliki mswaki huu kwa TSH 30,000/= tu!

🏍Dar es salaam unaletewa bure
na mkoani mteja atachangia nauli
nusu.

Chat nasi DM au bofya link kwenye
bio yetu ku-chat nasi moja kwa moja
kupitia WhatsApp.

____________________________________________



🙏Tunatambua nakuthamini mchango wako katikakukua kwetu. Tunaahidi kukuleteahuduma na bidhaa bora zaidi.Karibu tena   uji...
07/12/2021

🙏Tunatambua na
kuthamini mchango wako katika
kukua kwetu. Tunaahidi kukuletea
huduma na bidhaa bora zaidi.

Karibu tena ujipatie
bidhaa orijino zinazorahisisha maisha
kwa bei nafuu zaidi!

➡Chagua bidhaa katika ukurasa
huu kisha agiza kupitia DM au chat
na sisi kupitia WhatsApp link iliyopo
kwenye bio yetu.

➡Uaminifu na uwazi ndio ngao yetu.

🏍Dar es salaam unaletewa bure na
mkoani mteja atachangia nauli nusu.

Chat nasi DM au bofya link kwenye
bio yetu ku-chat nasi moja kwa moja
kupitia WhatsApp.
____________________________________________

Uwezo wa mashine hii kukatakimo kifupi cha milimita 0.25 unaifanya kuwanguli katika kunyoa kipara safi, ndevu, kwapa,pam...
06/12/2021

Uwezo wa mashine hii kukata
kimo kifupi cha milimita 0.25 unaifanya kuwa
nguli katika kunyoa kipara safi, ndevu, kwapa,
pamoja na mitindo mbali mbali ya nywele.

✓ Ina machaguo mengi ya kunyoa vimo
mbalimbali kupitia vitana vyake vinne.

✓Inakuja na vifaa vyake vyote, (chaja/adapter,
vitana, shaving oil, brashi na instruction manual).

✓Ni rafiki wa ngozi, haiumizi, haileti
vipele wala michubuko yoyote.

✓Inafaa kutumika na mtu wa umri na
jinsia yoyote.

✓ Chaji kwa masaa 8, tumia kwa dakika 60
bila kuizima.

✓ Brand: Dinglong, Model: RF - 619.

* Ipokee leo leo kwa TSH 35,000/= tu!

🏍Dar es salaam unaletewa bure (Tupo Mabibo
Makutano, karibu na Makutano Dispensary), na
mkoani mteja atachangia nauli nusu.

Chat nasi DM au bofya link kwenye
bio yetu ku-chat nasi moja kwa moja
kupitia WhatsApp.

Anza wiki yako kijanja zaidi naSELFIE STICK KIPOTABO mpya yenye taaya 'filters' tatu, Bluetooth ya umbali wampaka mita 1...
05/12/2021

Anza wiki yako kijanja zaidi na
SELFIE STICK KIPOTABO mpya yenye taa
ya 'filters' tatu, Bluetooth ya umbali wa
mpaka mita 10 na urefu zaidi (inchi 41).

Sasa ni rahisi kupiga picha na video,
kucheza 'game' na kuruka 'live' mtandaoni
bila kushika simu yako wala kumwomba mtu
akushikie na bila kuhofia kuhusu mwanga.

Ubora na uimara wake ni wa uhakika;
imetengenezwa kwa chuma cha pua
(stainless steel - Model: Q02).

Ikamate fasta leo kwa TSH 35,000/= tu.

🏍Dar es salaam unaletewa bure na mkoani
mteja atachangia nusu ya nauli.

Chat nasi DM au bofya link kwenye bio yetu
ku-chat nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp.

KUMBUKA: Zimebaki chache saanaa!!..

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255744702381

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SokoSimpo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share