26/11/2025
Wanafamilia Wetu Wa Wanatafuta Vijana Wa Delivery...
Vigezo;
Awe Na Miaka Kati Ya 18-30
Awe Na Leseni
Awe Jijini Dar Es Salaam
Mchapakazi
Mwaminifu
Uzoefu Usiopungua Mwaka Mmoja
Watumie Message Kwa Namba 0785 433 006