Biashara, com

11/10/2022
Jinsi ya kupata wheel alignment usedKwa bei nafuu..tz0717696504
03/06/2022

Jinsi ya kupata wheel alignment used
Kwa bei nafuu..tz
0717696504

JE,  UNAMPANGO WA KUFANYA SERVICE YA GARI YAKO MWEZI HUU?   K**a ndiyo ..naomba nikutaarifu offer zinazoendelea kwenye s...
15/04/2021

JE, UNAMPANGO WA KUFANYA SERVICE YA GARI YAKO MWEZI HUU?

K**a ndiyo ..naomba nikutaarifu offer zinazoendelea kwenye service bay zetu.

👇👇👇👇

👉Tutakushauri vizuri kutumia vilainishi ambavyo ni sahihi kwa gari yako..

👉Tutabadilisha.engine oil

👉Tutakutolea vumbi na michanga ndani ya gari yako.

👉Tutabalance upepo tyre zote

👉Tutahakiki wheel alignment

👉Tutakushauri buree kitaalam mambo yanayohusu gari yako kwa mwaka mzima.

service charg yetu ni=10,000.tu. Kwa kazi zote hizo…

Note: hiyo ni bei ya offer.. Hivyo wahi kabla offer haijaisha

Tell=0622 26 04 02 watssap au bonyeza link tukuonyeshe office yetu ilipo👇👇👇

https://chat.whatsapp.com/FrHJxrQkPuvDiyfJwRunSV

RUBIA TIR 7400Hii ni engine special kwa magari na mchine za zenye turbo chargKwa anayehitaji =0717696504Tunakuletea popo...
13/11/2020

RUBIA TIR 7400

Hii ni engine special kwa magari na mchine za zenye turbo charg

Kwa anayehitaji =0717696504
Tunakuletea popote ndani ya dar.

TAMBUA MAMBO YANAYOSABABISHA ENGINE OIL KUPUNGUA ...NA KUCHOKA HARAKA. đź”´Kuna mambo mengi  yanayo sababisha engine oil ku...
19/09/2020

TAMBUA MAMBO YANAYOSABABISHA ENGINE OIL KUPUNGUA ...NA KUCHOKA HARAKA.

đź”´Kuna mambo mengi yanayo sababisha engine oil kupungua.. kwenye gari

Leo nitakutajia sababu 3 tu zinazosababisha engine oil kupungua.

❎ Kuweka engine oil ambazo siyo sahihi kwa gari yako. kwani siyo kila engine oil inafaa kuwekwa kwenye kila gari.

❎ Kufanyiwa service na mafundi wasio kuwa na utaalamu wa kutosha.

❎Oil seal kuchoka na kuruhusu leakerg ya oil

Endapo utahitaji kufanyiwa service na sisi
bonyeza link hapo chini tukuelekeze tulipo
Au unaweza tupigia kipitia =0717696504
https://chat.whatsapp.com/Gty3yOWLIsuLhHdhJKVEQk

14/09/2020

ZUIA MIPASUKO KWA KUTUMIA SPRAY DASHBODY POLISH MARA KWA MARA

INAFANYA KAZI 2 KWA WAKATI MMOJA.

👉Inalinda mipasuko ya Dashibody dhidi ya jua

👉Inang’arisha

👉Inanukia fresh

K**a gari yako unapaki sehemu ya jua hii itazuia dashibody isipasuke pasuke na kuweza kuokoa gharama.

Kwa dar Tunaweza kukuelekeza ofisini wetu

Kwa mikoani tunatuma kwa uaminifu wote

Tunakutumia ukipata bidhaa ndiyo unalipia.

Kwa mawasiliano zaidi=0717 696504
=0622 260402

05/09/2020

SAFISHA VITI VYA GARI YAKO AU MASOFA YAKO
BILA KULOWESHA KITAMBAA.

Leo tumewaletea form cleaner Kwa ajiri ya kusafishia

👉viti vya magari

👉masofa nyumbani

👉laptop, Radio ,Meza. Nk.

Matumizi yake ni rahisi

Na hailoweshi

Kwa anayehitaji=0717 696504
au bonyeza link hapo chini
Ili uweke Oder yako
https://chat.whatsapp.com/FrHJxrQkPuvDiyfJwRunSV

JUA VITU MUHIMU VYA KUKAGUA UNAPOHITAJI KUNUNUA GARI USED FROM BONGO.    unapohitaji kununua gari iliyotumika hasa hapa ...
14/08/2020

JUA VITU MUHIMU VYA KUKAGUA UNAPOHITAJI KUNUNUA GARI USED FROM BONGO.

unapohitaji kununua gari iliyotumika hasa hapa Tanzania inatakiwa uwe makini sana ..

Kwa sababu usipokuwa makini unaweza kuuziwa gari mbovu.. na ikakufanya uyachukie magari.

Ukweli ni Kwamba kwa maisha ya sasa Gari ni muhimu sana..

Bonyeza link hapo chini tukuelekeze vitu vya kukagua unapohitaji kununua gari iliyotumika bongo. 👇👇

https://chat.whatsapp.com/Gre25PbWAPW7fELzZzCWoR

K**A WEWE UNAMILIKI GARI NDOGO..BASI TANGAZO HILI LINAKUHUSU  TAMBUA MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI GARI YAKO INAFANYIWA SER...
14/07/2020

K**A WEWE UNAMILIKI GARI NDOGO..BASI TANGAZO HILI LINAKUHUSU

TAMBUA MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI GARI YAKO INAFANYIWA SERVICE.

Kuna vitu mhimu vingi vya kuzingatia wakati gari yako inafanyiwa service.

Bonyeza link hapo chini kuingia kwenye group kwa mafunzo
zaidi..https://chat.whatsapp.com/Gty3yOWLIsuLhHdhJKVEQk

K**A WEWE NI MUMILIKI WA GARI NDOGO.TAMBUA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIAWAKATI GARI YAKO INAPO FANYIWA SERVICE.Bonyeza link...
14/07/2020

K**A WEWE NI MUMILIKI WA GARI NDOGO.

TAMBUA MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

WAKATI GARI YAKO INAPO FANYIWA SERVICE.

Bonyeza link. hapo chini. kuingia kwenye group kwa mafunzo zaidi.

WhatsApp Group Invite

02/07/2020

JUA UMUHIMU WA COOLANT

Address

SLP I23
Dar Es Salaam
123

Telephone

+255622260402

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Biashara, com posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Biashara, com:

Share