19/09/2022
Specifications
1. Zinatumika kwa simu Aina zote
2. Zinadumu na chaji kuanzia masaa 3, 4
hadi 6
3. Zina touch control
4. Baadhi Zina water proof features k**a
f9-5 ya 35,000 na jbl 37,000
5. Umbali wa kutumia hadi mita 10
6. Zina bass
7. Zina noise reduction feature
Product package
1. Earphones
2. Usb
3. Manual
Tunapatikana ubungo kibo dar es salaam.
Delivery free kwa maeneo jirani na ubungo
Delivery kwa nje ya dar itagharimu 5000 k**a garama ya usafiri.
Karibu tukuhudumie