Cham_vipodozi

Cham_vipodozi QUALITY MAKEUP AND VIODOZI VYA KILA AINA

20/01/2022
20/01/2022

Scrub zetu unatumia seemu yeyote yenye weusi
K**a apo inatumika kusafisha kwapa 🤪 kwapa likiwa leusi napo kuvaa nguo za kujiachia mtihani sana 😜
Karibu ujipatie kwa tsh 15000 tu

Whatsup 0718037429
Call 📲 0744828430

20/01/2022

MBEYA mzigo tayari upo mkoani kwenu akuna abari za kutumiana tena nikupokea na kulipia tu
Wai kabla aujaisha

Soma kwa makini ili usije kupata madhara k**a unapenda kutumia ice kiolela bila kujaliMassage na barafu kila wiki, unawe...
17/01/2022

Soma kwa makini ili usije kupata madhara k**a unapenda kutumia ice kiolela bila kujali

Massage na barafu kila wiki, unaweza hata kufanya mara mbili. Lakini ikiwa hali ya hewa ni baridi na unatumia muda mwingi katika baridi, na k**a mishipa yako ya damu iko karibu na uso wa ngozi, basi ni bora kuepuka.

Don’t forget to follow me
@ kato_product

17/01/2022

Sidhani k**a wengi wetu tunajua kwamba barafu ina weza kukusaidia mambo mbali mbali katika ngozi, haya ndio mambo ambayo barafu inaweza kusasaidia

1:Tumia barafu kukandakanda kwenye chunusi kubwa kuifanya ikauke

2:barafu ukiikanda kwenye macho yaliyovimba kutokana na kutolala au uchovu huyarudisha macho yako kawaida.

3:unaweza kutumia barafu ukaimassage kwenye uso wako kabla ya kupaka makeup inaakua k**a primer na kufanya makeup yako ikae kwa muda mrefu.

4:kumassage barafu usoni pia huongeza blood circulation inayozuia ngozi yako kuzeeka na kupata makunyanzi mapema.

Don’t forget to follow me

17/01/2022

Sidhani k**a wengi wetu tunajua kwamba barafu ina weza kukusaidia mambo mbali mbali katika ngozi, haya ndio mambo ambayo barafu inaweza kusasaidia

1:Tumia barafu kukandakanda kwenye chunusi kubwa kuifanya ikauke

2:barafu ukiikanda kwenye macho yaliyovimba kutokana na kutolala au uchovu huyarudisha macho yako kawaida.

3:unaweza kutumia barafu ukaimassage kwenye uso wako kabla ya kupaka makeup inaakua k**a primer na kufanya makeup yako ikae kwa muda mrefu.

4:kumassage barafu usoni pia huongeza blood circulation inayozuia ngozi yako kuzeeka na kupata makunyanzi mapema. 😜G9t friends

Follow us

15/01/2022

Scrub zetu zina mchanganyiko wa
Korosho
Kahawa
Liwa
Nk....
ni nzuri sana unafanya mara tatu kwa wiki usoni tu
Mwili mzima maramoja kwa wiki
Inatoa
Weusi katikati ya mapaja
Makwapani
Sugu za mikono,miguu,viwiko
Weusi chini ya macho
Magamba meusi seemu za uso
Inakufanya unakuwa soft na rangi moja mwili mzima..
Tsh 15000 tu

07/01/2022

Sabuni zetu unapewa kutokana na tatizo lako
Tsh 5000 Tu

07/01/2022

Sabuni zetu ni uhakika hakika autojutia kutuchagua tukuudumie sura yako

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 21:00
Friday 09:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 21:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cham_vipodozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share