17/08/2022
Huduma ya Salem Jesus Fire Ministry
chini ya Mpakwa Mafuta wa Bwana Apostle Thobias Tihaya ni Huduma ya Ukombozi na Uponyaji kwa watu wa dini zote na tamaduni zote tunawakaribisha Sana.
Yombo, Kijiwe Samli uwanja wa Kaliagogo CCM