Kalembo Traders

Kalembo Traders 🏡Safari Yako Ya Nyumba Imara ya Kuvutia Inaanzia Hapa.
🛒Mbao na Mabati Imara
🌟Inaaminiwa Na Wenye

20/11/2024

Karibu Kalembo Traders Buguruni Kwa Mahitaji Ya Mbao Nzuri Zilizokomaa Zenye Dawa treated Kwa Ajili Ya Ujenzi wa Nyumba yako Na Matumizi Binafsi K**a Kutengenezea Furniture N.k
_
Bei Zetu Ni K**a Zifuatazo (Mbao Zote Zina Dawa) Kutoka Mafinga Iringa Mbao Za Msitu Wa Serikali zilozokomaa.
Mbao za fut 12 Zenye Dawa (treated)
🪵2×4'fut 12 ni tsh 5800
🪵2×2'fut 12 ni tsh 2800
🪵2×3'fut 12 ni tsh 4800
🪵2×6'fut 12 ni tsh 11000
🪵1×8'fut 12 ni tsh 11500
🪵1×10'fut 12 ni tsh 17000.

Mbao ndefu za kupima zenye urefu wa wastani wa fut 17,18,19,20
(Zilizovunwa kwenye msitu wa Serikali)
🪵2×4ni tsh 760kwa kila fut moja
🪵2×2ni tsh 380 kwa kila fut moja
🪵2×3ni tsh 600 kwa kila fut moja
🪵2×6ni tsh 1150 kwa kila fut moja

Pia tunazo mbao ndefu zilizovunwa kwenye misitu ya wanakijiji za kupima zenye urefu wa wastani wa fut 17,18,19,20
(Mbao ya mkulima au mbao ya kijiji)
Bei zetu
🪵2×4ni tsh 660kwa kila fut moja
🪵2×2ni tsh 350 kwa kila fut moja
🪵2×3ni tsh 530 kwa kila fut moja
🪵2×6ni tsh 1060 kwa kila fut moja

_
Tupo Buguruni Karibu Na SGR, Usafiri Ni Bure Ndani Ya Mkoa Wa Dar Es Salaam, Nje Ya Dar Es Salaam Utachangia Kidogo.
_
Mawasiliano 0653245000 (Calls, Texts, WhatsApp)

06/04/2024

Check out Mbao_kalembo mkanjinji’s video.

Discipline and trusting.Make client happy
03/04/2024

Discipline and trusting.
Make client happy

Check out Mbao_kalembo mkanjinji’s video.

03/04/2024

Ubora ndio kipaumbele chetu.
Karibu tukuhudumie
Mbao bora na imara zenye dawa treated.
Tupigie simu kwa namba hii 0653 245 000

21/03/2024

We conquer by quality
0653 245 000.
For the treated timbers

Free delivery 0653 245 000 Karibu tukuhudumie mbao zetu ni treated kutoka mafinga iringa
09/03/2024

Free delivery
0653 245 000
Karibu tukuhudumie mbao zetu ni treated kutoka mafinga iringa

Mbao safi Mbao zenye dawa Mbao Ilizokomaaa kabisaaaTupigie simu 0653 245 000 Usafiri Ni bure
08/03/2024

Mbao safi
Mbao zenye dawa
Mbao Ilizokomaaa kabisaaa
Tupigie simu 0653 245 000
Usafiri Ni bure

07/01/2024
Karibu tukuhudumie Mbao zenye Dawa treated zilizokomaa kabisa.Tupigie simu 0653 245 000 Tukuletee mbao bora na imara zen...
04/01/2024

Karibu tukuhudumie
Mbao zenye Dawa treated zilizokomaa kabisa.
Tupigie simu 0653 245 000 Tukuletee mbao bora na imara zenye Dawa treated mpaka site kwako

Address

Buguruni
Dar Es Salaam

Telephone

+255653245000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kalembo Traders posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share