Phonegurutz

Phonegurutz We care about you and your mobile device. We want you to get the most out of it always. Follow us to

Be safe, tinakujali.
13/09/2021

Be safe, tinakujali.

12/09/2021

Ninajua masela, mtaani kuna dhiki. Na ndio maana nakupa maujanja ya kusave mb zako. 🙏

12/09/2021

Ninachujua masela, mtaani kuna dhiki. Na ndomaana nakupa maujanja ya kusave hela kwenye mb.

Jinsi ya kujua nyimbo unayosikiliza kwa simu ya android
11/09/2021

Jinsi ya kujua nyimbo unayosikiliza kwa simu ya android

07/09/2021

Usiumize kichwa tena kuwaza na kuuliza hiyo nyimbo unaitwaje au kaimba nani ukiwa na shazam una uwezo wakupakua kila aina ya nyimbo

unachotakiwa kufanya nikufauta izo taratibu rahisi sana....

pia ukiwa unatumia mitandao yoyote yakijamii ndani ya simu shazam pia inatumika, maelezo ya jinsi yakutumia unaweza ipata kwenye previous post...

Haya download na kisha tuandikie experience yako!...

Shazam shortcut ya iPhone. Ya android tunakuonesha alhamis, usikose.
07/09/2021

Shazam shortcut ya iPhone. Ya android tunakuonesha alhamis, usikose.

04/09/2021
Tumejikita kukupa huduma unayoistahili, asanteni sana kwa upendo wenu. Mwaka huu lazima uwe mkali wa kutumia simu yako.
04/09/2021

Tumejikita kukupa huduma unayoistahili, asanteni sana kwa upendo wenu. Mwaka huu lazima uwe mkali wa kutumia simu yako.

Asanteni kwa support na tunawapenda na kuwathamini. Tumejikita kuwapa huduma mnayo stahili.
04/09/2021

Asanteni kwa support na tunawapenda na kuwathamini. Tumejikita kuwapa huduma mnayo stahili.

Asanteni kwa support yetu na tunawapenda
04/09/2021

Asanteni kwa support yetu na tunawapenda

01/09/2021

unaweza karibisha ndugu na marafiki zako ambao wanayo hii gemu na mkashindana kumwona nani mwenye points nyingi na aliekimbia mbali zaidi, ukiwa online

pia kuna zawadi tofauti unazopewa kadri ya umbali unaokimbiaa, na zengine unapewa ukiweza shinda changamoto na vikwazoo...unasuburi nin? download ucheze sasa!

31/08/2021

unaweza karibisha ndugu na marafiki zako ambao wanayo hii gemu na mkashindana kumwona nani mwenye points nyingi na aliekimbia mbali zaidi ukiwa online.

kuna ramani tofauti za kukimbia zenye vikwazo tofauti zitakazo changamsha akili yako!

pia kuna zawadi tofauti unazopewa kadri ya umbali unaokimbiaa, na zengine unapewa ukiweza shinda changamoto. haya download ucheze sasa!

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phonegurutz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share