Brbuyandsell

Brbuyandsell Tanzania’s Ultimate Online Shopping Site. Our vision is to create Tanzania’s most reliable and f

Karibu Br Real Estate Developers Ltd, Umiliki kiwanja kilichopimwa kwa bei nafuu sana . Kwa Mawasiliano Tupigie +255 626...
12/03/2026

Karibu Br Real Estate Developers Ltd, Umiliki kiwanja kilichopimwa kwa bei nafuu sana . Kwa Mawasiliano Tupigie +255 626 442 277 /+255 629 442 277 /+255 622 442 277

Karibu Br Real Estate Developers Ltd, tukuhudumie . kwa mawasiliano tupigie +255 626 442 277 /+255 629 442 277 /+255 622...
11/03/2026

Karibu Br Real Estate Developers Ltd, tukuhudumie . kwa mawasiliano tupigie +255 626 442 277 /+255 629 442 277 /+255 622 442 277

Karibu Br Real Estate Developers Ltd ujipatie kiwanja kilichopimwa kwa gharama nafuu na kwa urahisi zaidi. kwa mawasilia...
09/03/2026

Karibu Br Real Estate Developers Ltd ujipatie kiwanja kilichopimwa kwa gharama nafuu na kwa urahisi zaidi. kwa mawasiliano tupigie +255 626 442 277 /+255 629 442 277 /+255 622 442 277.

Karibu Br Real Estate Developers Ltd ,ujipatie kiwanja kilichopimwa kwa gharama nafuu. kwa mawasiliano  zaidi tupigie +2...
05/03/2026

Karibu Br Real Estate Developers Ltd ,ujipatie kiwanja kilichopimwa kwa gharama nafuu. kwa mawasiliano zaidi tupigie +255 626 442 277 /+255 629 442 277 /+255 622 442 277.

KAMANDA MORCASE AHIMIZA FURSA YA VIWANJA KWA ASKARIKamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim M...
16/12/2025

KAMANDA MORCASE AHIMIZA FURSA YA VIWANJA KWA ASKARI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase amewaongoza Maafisa wa Polisi Mkoa wa Pwani kutembelea viwanja vya mradi wa Kampuni ya Uuzaji na Upimaji wa Viwanja ya BR Real Estate Developers Limited huko Msolwa, Chalinze, Leo Disemba 16, 2025.

Hii ni baada ya Kamanda Morcase kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa BR Real Estate Developers Limited Bw. Zeno Mboro mapema wiki hii kuhusu kupata fursa kwa maafisa, Wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kununua viwanja vya makazi au biashara katika eneo hilo la Msolwa.

Kamanda Morcase alizungumza na maafisa hao na kuwasihi waitumie fursa hiyo vizuri na yeye kwa kushirikiana na Afisa Mnadhimu wa Polisi Mkoa wa Pwani watawezesha mazingira rafiki kwa askari kulipa pesa hiyo ya viwanja kwa awamu.

Naye Mkurugenzi wa kampuni hiyo , Bw Zeno Mboro aliwapongeza maafisa waliojitokeza kuona fursa hiyo na kueleza kuwa anawakaribisha kumiliki viwanja vilivyopimwa, Kuandaliwa miundombinu ya barabara na huduma muhimu za kijamii.

Aidha, katika mradi huo wametenga eneo la Kituo cha Polisi kwa lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi.

Kwa mawasiliano zaidi Tupigie +255 624 000 333/ +255 626 442 277 /+255 622 442 277 au tembelea Instagram brrealestateagentltd

Address

Lugalo Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255624000333

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brbuyandsell posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share