KAYS chalks product

KAYS chalks product Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KAYS chalks product, Shopping & retail, Dar es Salaam.

06/10/2019
Chaki bora kwa ujifunzaji bora, furahia taaluma yako kwa kuthamini afya yako.
06/10/2019

Chaki bora kwa ujifunzaji bora, furahia taaluma yako kwa kuthamini afya yako.

Kufundisha na kujifunza kunakuwa bora zaidi kutokana na matumizi ya vifaa bora vinavyozingatia usalama wa afya ya mwalim...
06/10/2019

Kufundisha na kujifunza kunakuwa bora zaidi kutokana na matumizi ya vifaa bora vinavyozingatia usalama wa afya ya mwalimu na mwanafunzi. Tunakuletea chaki zenye ubora wa kiwango cha juu kabisa za aina tofauti tofauti zinazopatikana kwa bei rahisi kabisa. Jali afya yako na wanafunzi wako kwa kutumia chaki sahihi kutoka kwetu. Kukuhudumia ni wajibu wetu, tunajali afya yako na kutambua thamani ya uwepo wako.

Chaki za rangi pia zinapatikana kwetu.
06/10/2019

Chaki za rangi pia zinapatikana kwetu.

Jipatie chaki zenye ubora wa hali ya juu kutoka kwetu. Chaki zisizo na vumbi kabisa kwa ulinzi na usalama wa afya yako a...
06/10/2019

Jipatie chaki zenye ubora wa hali ya juu kutoka kwetu. Chaki zisizo na vumbi kabisa kwa ulinzi na usalama wa afya yako afya yako. Tunathamini taaluma yako na kujali afya yako.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KAYS chalks product posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share