Hm Collection Tz

Hm Collection Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hm Collection Tz, Shopping & retail, Tanzania Street, Dar es Salaam.

Kadet Size 32-42Material ; cottonRej Tsh 50,0000Suruali hizi ni nzuri zilizo na material imara  sizizo chakaa haraka wal...
27/10/2023

Kadet
Size 32-42
Material ; cotton
Rej Tsh 50,0000

Suruali hizi ni nzuri zilizo na material imara sizizo chakaa haraka wala kupauka.
Hizi kadet ni pure cotton
Kitambaa chake hakiwashi kabisa
Hakizalishi joto
Wale mnaosumbuliwa na fangus hii ni nzur zaid kwenu
Hazileti muwashoooooooo
Inadumu kwa muda mrefu saaana, hazichuji wala kupauka k**a zilivo cardet zengine
Surual hizi waweza kuvalia shirt, t shirt nk, na ukawa na muonekano mzuriii kwa wanaokutazama pia hata wewe kujiamini.

Clark's shoes Size 39,40,41,42,43,44,na 45 na 46made in italy .Italy ni nchi moja wapo inayosifika kwa kutengeza viatu v...
16/05/2020

Clark's shoes
Size 39,40,41,42,43,44,na 45 na 46made in italy .
Italy ni nchi moja wapo inayosifika kwa kutengeza viatu vizur vya ngozi visivopauka wala kuchaakaa haraka.
Vinadumu kwa muda mrefu saaana, havibanduki k**a viatu vengine . Vinahimili mazingira yote iwe tope mawe nk
Viatu hivi waweza kuvalia na suruali aina ya jeans cardet pocket trousers nk , na ukawa na muonekano mzuriii kwa wanaokutazama pia hata wewe kujiamini.
Viatu hivi waweza kuvaa popote , offcn vikao vya kikazi, bungeni ,na hata ikulu pia na ukaona smarter .
Hmcollectiontz
Tunapatikana Dar es salaam mbagala/kuu.Ukihitaji viatu hivi wasiliana nasi WhatsApp/call #0675971850 #0782021226.
Popote ulipo utatumiwa mzigo wako kwa wakati na kwa uaminifu, kwa kuzingatia uchaguzi wako.

Address

Tanzania Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255785286392

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hm Collection Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hm Collection Tz:

Share