Gloriouzglow store TZ

Gloriouzglow store TZ TUNAKUSAIDIA JINSI YA KUITUNZA NGOZI YAKO. TUNAKUPA ELIMU NA BIDHAA ORGINAL NA SALAMA KWA AFYA YAKO.

Ngozi za mwili mmefikiwa😍Ondoa ngozi ngumu 😍Ondoa michirizi/strechmarks😍Tengeneza glass skin mwilini 59,900tuu F&W no 3 ...
03/10/2024

Ngozi za mwili mmefikiwa
😍Ondoa ngozi ngumu
😍Ondoa michirizi/strechmarks
😍Tengeneza glass skin mwilini
59,900tuu F&W no 3 orginal achana na hizo fake shoga angu
Tupo Arusha mall duka namba ground floor
0711752968

Ngozi za mwilini ni msimu wake😍Hizi ni body serum moja ya kuongeza unyevu na nyingine kwaajili ya kung’arisha..😍Ngozi ta...
03/10/2024

Ngozi za mwilini ni msimu wake
😍Hizi ni body serum moja ya kuongeza unyevu na nyingine kwaajili ya kung’arisha..
😍Ngozi taaamu yenye unyevu au iliyoglow kizungu..
😍Ngozi laini na nyororo..
😍Ondoa ngozi kuchakaa na kupauka..
This is Afrikaglow
Genuine is our pride
37,900 tuu
Tupo Arusha mall ground floor duka la kwanza
0711 752968

Kuna Vaseline mtaani ila kuna hizi za Afrikaglow bnaaa💪🏽😍Waliotumia ni mashahidi😍Tumeziuza maelfu kwa maelfu 😍Zipo few p...
03/10/2024

Kuna Vaseline mtaani ila kuna hizi za Afrikaglow bnaaa💪🏽
😍Waliotumia ni mashahidi
😍Tumeziuza maelfu kwa maelfu
😍Zipo few pieces
35,000 tuu
This is us
Genuine is our pride

Tupo Arusha mall ground floor duka la kwanza
0711 752968

Hii ni season takatisha ngozi ya mwilini✨✨✨✨😍Hii vitamin C body serum ndani ya siku na 14 tuu mng’ao wa kizungu😍Kujichub...
03/10/2024

Hii ni season takatisha ngozi ya mwilini✨✨✨✨
😍Hii vitamin C body serum ndani ya siku na 14 tuu mng’ao wa kizungu
😍Kujichubua kumepitwa na wakati dear wangu
😍Tunza ngozi yako utaipenda dear dear😻
35,000 tuu
Tupo Arusha mall ground floor duka la kwanza
0711 752968

Ngozi za mikono hazijaachwa nyuma😍Ondoa sugu kwenye viungio vya vidole..😍Lainisha ngozi ya kiganja chako..😍Ondoa ngozi z...
03/10/2024

Ngozi za mikono hazijaachwa nyuma
😍Ondoa sugu kwenye viungio vya vidole..
😍Lainisha ngozi ya kiganja chako..
😍Ondoa ngozi za vidolo kukunjamana k**a ya mzee..
😍Mkono iglow jamanii
35,000 tuu
This is Afrikaglow
We sale science
Tupo Arusha mall ground floor duka namba
0711752968
Afrika Glow Tz Arusha

Tumia vitu OG vya garnier kutoka kwetuHizi ni cleanser za vitamin C😍Unaanza kunawaza uso wako na kupata glow ya kizungu ...
02/10/2024

Tumia vitu OG vya garnier kutoka kwetu
Hizi ni cleanser za vitamin C
😍Unaanza kunawaza uso wako na kupata glow ya kizungu
😍inafaa kwa ngozi aina zote
✨kubwa ni 67,000
✨ndogo ni 37,000

Karibuni Garnier night vitamin C serum😍Ina 10% ya vitamin C😍Unaglow na kuwa ngozi ya chungwa Mara 10 zaidi..😍Madoa Huond...
02/10/2024

Karibuni Garnier night vitamin C serum
😍Ina 10% ya vitamin C
😍Unaglow na kuwa ngozi ya chungwa Mara 10 zaidi..
😍Madoa Huondoa kwa haraka Mara kumi zaidi
😍uzee huondoka kwa speed ya Mara kumi zaidi
😍Ondoa hyperpigmentation kwa speed Mara kumi zaidi

✨Kwetu ni 89,900 tuu kwengine ni ghali mnoo

Wapenzi karibuni serum hii✨Ina vitamin C hivyo👇🏻😍Huondoa kufubaa kote 😍Huondoa madoa meusi,hyperpigmentation zote..😍Inao...
02/10/2024

Wapenzi karibuni serum hii
✨Ina vitamin C hivyo👇🏻
😍Huondoa kufubaa kote
😍Huondoa madoa meusi,hyperpigmentation zote..
😍Inaondoa makunyanzi na uzee wote..

✨Ina salicylic hivyo👇🏻
😍Huondoa madoa yote
😍Huondoa kututusika kote
😍hufungua pores
😍n.k n.k

✨Ina Niacinamide hivyo👇🏻
😍Hufanya kuwa laini na nyororo..
😍Huongeza unyevu kwenye ngozi
😍Hapo tunatengeneza skin texture

Ni 79,900 tuu bei ni kwetu tuu kwingine ghali mnooo

Address

Arusha
136USA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gloriouzglow store TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share