10/01/2020
~Forever lite ultra vanilla with aminotein ni bidhaa nzuri kwaajili ya ku-maintaining uzito, na ni protini ya mimea ambayo ni rahisi kumeng'enywa. Na pia inaweza kuwa mbadala ya kifungua kinywa chako(breakfast) ambavyo mara nyingi huwa ni wanga. Mara nyingi ukinywa lazima baadaya muda fulani utapata njaa. Kwa Forever lite ultra vanilla ni protein based breakfast unaweza kukaa kwa muda mrefu bila kupata njaa.
~Ni nzuri sana kwa watoto wadogo kwa kuwa ina protini kwa wingi kwaajili ya ukuaji mzuri wa mtoto.
~Pia ni nzuri kwa watu wazima, zaidi sana kwa watu wanaofanya mazoezi ni muhimu sana kwao kwaajili ya kutengeneza/kujenga misuli.
~Kwa muda wa jioni au usiku upendi kula vitu vigumu unaweza kutumia hii forever lite ultra vanilla kuchanganya na matunda yaliyopo na kubrend unakunywa na unalala vizuri kabisa.
~Ni nzuri na tamu sana, nutritious pia kwa sababu ni k**a balanced food ina vitamin na madini kwa wingi.
Kuipata wasiliana nasi:0621312195