Do2Do Delivery Services

Do2Do Delivery Services DO2DO Delivery services n kampun.

inayojishughulisha na uuzaji pamoja na usambazaji wa bidhaa za sokoni, Tunakufikishia bidhaa zote kutoka sokon mpaka nyumbani kwako kwa ubora na umakin wa hali ya juu kwa bei nafuu zaidi

siku nyingine wateja wengine.  Furaha kutoka kwa wateja wetu ndilo jukumu letu,  weka oda yako sasa nasi tutakufikia pop...
23/03/2020

siku nyingine wateja wengine. Furaha kutoka kwa wateja wetu ndilo jukumu letu,
weka oda yako sasa nasi tutakufikia popote ulipo jijin Arusha BURE kabisa

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Je umechoka au huna muda wa kwenda sokoni??Je kazi zinakubana na kupata shida ya kwenda sokon??bas usipate tabu ...
22/03/2020

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Je umechoka au huna muda wa kwenda sokoni??
Je kazi zinakubana na kupata shida ya kwenda sokon??
bas usipate tabu

*DO2DO Delivery* Tunakufikishia bidhaa zote kutoka sokon mpaka nyumbani kwako kwa ubora na umakin wa hali ya juu kwa bei nafuu zaidi:
Bidhaa zote za sokon yan Groceries zikiwa fresh kabisa zinapatikana kwa bei nafuu sana.
Pia bidhaa za dukan k**a mikate, peanut butter, mayonnaise, asali, margarines, sukar, mchele, unga n.k vyote vinapatikana..
Pia tunasambaza matunda ya aina zote kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu: maembe, machungwa, mapapai, mananasi, ndizi, parachichi, mapassion n.k

kwa maelezo zaidi na kuweka order yako tupigie au tuma txt kawaida au WhatsApp kupitia:

0626407028 au
0675556439

Ahsante sana mteja wetu kwa kufanya manunuzi nasi, tutaendelea kukupa huduma bora zaidi kuwah kutokea πŸ˜„πŸ˜„tunakufikishia k...
22/03/2020

Ahsante sana mteja wetu kwa kufanya manunuzi nasi, tutaendelea kukupa huduma bora zaidi kuwah kutokea πŸ˜„πŸ˜„

tunakufikishia kila kitu mpka mlangoni kwako kwa bei nafuu sana
Pata OFFER yan hadi aslimia 20 kwa oda yako ya kwanza
TOA ODA YAKO SASA kupitia

0626407028
0675556439

Address

Arusha
255

Opening Hours

Monday 07:00 - 19:00
Tuesday 07:00 - 19:00
Wednesday 07:00 - 19:00
Thursday 07:00 - 19:00
Friday 07:00 - 19:00
Saturday 07:00 - 19:00
Sunday 07:00 - 19:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Do2Do Delivery Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share