Senko Smart Generation

Senko Smart Generation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Senko Smart Generation, Shopping & retail, Arusha.

Wateja wetu wa Dar, soon tunawafikia kwa ukarubu. Mtapata huduma nzuri na kwa haraka. Tupo kwa ajili yenu🙏
01/01/2023

Wateja wetu wa Dar, soon tunawafikia kwa ukarubu. Mtapata huduma nzuri na kwa haraka. Tupo kwa ajili yenu🙏

Kwa wateja wetu, tunawapenda sana, mkawe na mwaka wenye baraka na mafanikio, mtuungishe mpaka mizigo iwe inaisha kila si...
01/01/2023

Kwa wateja wetu, tunawapenda sana, mkawe na mwaka wenye baraka na mafanikio, mtuungishe mpaka mizigo iwe inaisha kila siku🤗

Kwa wale waliouliz specifiaction za hiyo ipads....karibun senkosmartgeneration hatubahatishi tuna vitu original na vya u...
04/04/2021

Kwa wale waliouliz specifiaction za hiyo ipads....karibun senkosmartgeneration hatubahatishi tuna vitu original na vya uhakika..

Slipers zipo dukaniNi kwa watoto na watu wazima wenye miguu midogo.Ni mwendo wa kuvunja bei tu.Ths 6,000 kwa pair, kwa j...
05/02/2021

Slipers zipo dukani

Ni kwa watoto na watu wazima wenye miguu midogo.

Ni mwendo wa kuvunja bei tu.

Ths 6,000 kwa pair, kwa jumla ni 5,000 kianzia pair 5.

Call/ whatsapp 0679246696

Tunakutumia kokote ulipo.

Karibu sana.

Tablets zipo Dukani.Mfanye mtoto wako mwenye furaha.Tayari tumekuwekea Games na Cartoon zakutosha.February offer Tsh 150...
02/02/2021

Tablets zipo Dukani.

Mfanye mtoto wako mwenye furaha.

Tayari tumekuwekea Games na Cartoon zakutosha.

February offer Tsh 150,000 rejareja, jumla ni 130,000 Tsh (kuanzia pcs 3).

Call/whatsapp 0679246696

Tunakutumia mzigo sehem yoyote ulipo.

Tuko Moshi bus stand.

Karibu sana.

+255 679 246 696
15/12/2020

+255 679 246 696

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Senko Smart Generation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share