23/08/2025
Karibu kwenye kipindi sheshe cha Bahari Ya Elimu ukiwa na nahodha Hassan mwana wa Ali na magwiji wengine wa lugha ashirafu ya Kiswahili, kuanzia saa moja hadi milango ya saa tano asubuhi. Tukienzi Kiswahili.