09/03/2021
Mungu akikubariki hata nani apinge haezi,,,,namaanisha ukimtukuza mungu changamoto ni nyingi mno lakini ukiomba kwa roho na kweli ,kwa uwezo wa mungu utayashinda majaribu pia ayubu alijaribiwa ila ni imani yake kwa mungu ilimusaidia. je wewe?