Fikirini kalama

Fikirini kalama Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fikirini kalama, Shopping & retail, Fikirinikalama@yahoo. com, Muthara.

22/09/2025
Kuna jamaa ni mwanajeshi alifunga ndoa siku chache baada ya kumaliza harusi akaenda job na kumuacha bibi yake home kwao ...
11/10/2024

Kuna jamaa ni mwanajeshi alifunga ndoa siku chache baada ya kumaliza harusi akaenda job na kumuacha bibi yake home kwao baada ya mwezi mmoja bibi akampigia simu bwanake na akamwambia baba ananitaka kimapenzi πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„jamaa alikataa kabisa kumuamni bibi yake akamwambia k**a unaona umepta mtu sasa basi wewe nenda usimsingizie babangu maneno k**a hayo k**aumenichoka ondoka tu πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ήbibi hakua na lakufanya na baba mkwe anamfuatilie kweli anaogopa akimwambia mama mkwe inaweza ikawa balaa zaidi anabaki akiumia moyo tu maana hata mumewe hataki kumuelewaπŸ€”πŸ€”πŸ€”

Ikafika siku jamaa akapata lve ya mwezi mmoja alipofika home akasema sasa niko hpo nitajua km ni baba ama ni wewe umenichoka alijaribu kutenga hata camera lakini wapi hakupata ushahidi akamlaumu mkewe kwa kumsingizia babake maneno ya uongo πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”

Mke akamwambia hutaki kuniamin basi fanya hivi muange babako kuwa umepingiwa simu ya dharura na unarudi kazini kisha ukapande pale kwenye ule mti mrefu pale msituni utulie hpo juu alafu mm nitakuja na ukweli wote usionge kitu hta mtu akija hpo chini jamaa akafanya km mkewe alivyosema akaenda kupanda hpo juu ya mti🀦🀦🀦🀦🀦🀦

Alivyoondoka tu baba mkwe akamwambia nilikuambia mm mwanangu hakupendi ona hta mwezi hauja isha amerudi kazini huna mume pale πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Mkaza mwana akamwambia baba nimekubali ombi lako tupatane pale msituni chini ya ule mti mrefu baba akasema anatangulia alipofika hpo akaanza kujiongelesha akija nitamfanya amsahau mumewe kabisa kidogo mkaza mwana naye akafika jamaa bado yuko hapo juu ya mti baba akamwambie mkaza mwana alale ili wamalizane mkaza mwana akasema lakini mwanao huwa analala yeye alafu mimi napanda juu baba akajilaza kweli kuangalia juu mwanawe yuko ameona kila kitu πŸ€¦πŸ€¦πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€¦πŸ€¦πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ™„πŸ™„πŸ™„

Sasa tuseme ni wewe ungefanya nini ili kuliepuka hili tena kwa amani mko watatu hapo ukimuuwa babako utakosa kila kitu maana mkeo hatakubali kubaki na wewe atakuita muuwaji na taarifa ikifika kazini wewe huna kazi na jela unaend

Address

Fikirinikalama@yahoo. Com
Muthara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fikirini kalama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share