ALLY MM 001

ALLY MM 001 Public figure

Marioo on this πŸ”₯
25/05/2026

Marioo on this πŸ”₯

Declan Rice is the only Arsenal player who celebrated with his wife. β™₯️  #
24/05/2026

Declan Rice is the only Arsenal player who celebrated with his wife. β™₯️ #

20/05/2026

The last time Arsenal won the EP league is 1 day ago πŸ˜‚

Congratulations arsenal 2025/2026 champions πŸ†
19/05/2026

Congratulations arsenal 2025/2026 champions πŸ†

Arsenal we are the officiallyy champions πŸ†
19/05/2026

Arsenal we are the officiallyy champions πŸ†

Linapokuja swala la moto wa Jahanamu, bila shaka Kila mtu anaogopa maana moto unatisha.Moto wa Jahanamu ni sehemu ya adh...
14/05/2026

Linapokuja swala la moto wa Jahanamu, bila shaka Kila mtu anaogopa maana moto unatisha.

Moto wa Jahanamu ni sehemu ya adhabu watakayoingia waovu wote hata dini 2 kubwa Duniani ukristo na Uislamu,zote zinasema waovu watatupwa ndani ya moto wa milele siku ya kiama.

Mimi k**a mchukunuzi wa mambo mbalimbali nimechukunua ndani ya biblia na Qurani πŸ‘‰ nimegundua adhabu ya moto ni Kali saana Tena saana kuliko tunavyodhania πŸ₯Ή

Qurani na Biblia : vinazungumzia moto (adhabu) kwa lugha nzito, ya kuogofya, na yenye lengo la kuonya, kurekebisha maovu ya watu na kuhimiza toba yaani watu waache maovu wawe wema.

TUANZE NA QUR~ANI KISHA BIBLIA

1. Moto na mateso katika Qurani (Uislamu)

Katika Qurani, moto unaitwa Jahannam. Maelezo yake ni ya moja kwa moja, ya kina, na ya kutisha sana.

Maelezo ya Jahannam:

Moto unawaka milele kwa makafiri

KAFIRI : ni Kila aliefikiwa na haki akaipinga yaani mtu asiemwamini Mungu na kukataa haki na akatenda maovu mengi hapa Duniani : huyo ndie kafiri.

Ama mtu hajafikiwa na haki ,hajasikia kuhusu Uislamu alikufa bila kuskia Uislamu Wala kuujua πŸ‘ˆ huyu sio kafiri na motoni haendi.

Kwa muujibu wa Uislamu Moto una viwango (ngazi) tofauti kulingana na kosa.

Ngozi huungua kisha hubadilishwa ili waonje adhabu tena.πŸ₯ΉπŸ₯ΊπŸ˜³πŸ˜³

Watu watanyweshwa maji ya moto yanayochemka, yanayochoma matumbo.😳😳😳

Kilio, majuto, na kuomba msaada : lakini hakuna msaada.😳😳

Aya za Qurani mfano:

β€œHakika wale waliokufuru ishara zetu, tutawatia katika moto; kila ngozi zao zitakapo unguzwa, tutawabadilisha ngozi nyingine ili waonje adhabu.” (Qurani 4:56)

β€œNa watapewa maji ya moto, yakawakatakata matumbo yao.”
(Qurani 47:15)

πŸ‘‰Lengo la maelezo haya:

Kuonya waziwazi waovu wote
Kuweka uwajibikaji binafsi
Kueleza kwamba Mungu ni Mwenye haki, si dhalimu

Lakini pia Qurani inasisitiza:

Rehema ya Mungu ni kubwa kuliko ghadhabu Yake
(mlango wa toba uko wazi hadi pumzi ya mwisho)
πŸ‘‰ Kwa waislamu mtu akifanya maovu mengi kiasi ambacho yanaweza kujaza dunia nzima ,akitubu na

11/05/2026

People who feel rich before they’re rich are the ones who actually get rich.

11/05/2026
This is the reason why westham goal was cancelled,,wacheni makasiriko 🀣 πŸ˜‚
10/05/2026

This is the reason why westham goal was cancelled,,wacheni makasiriko 🀣 πŸ˜‚

79 points 5 points for Manchester City to return no 1 ..
10/05/2026

79 points 5 points for Manchester City to return no 1 ..

Address

Watamu
Kilifi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ALLY MM 001 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share