14/03/2025
Tuko tayari kujifunza kutoka kwa wenzetu wahindi kwa sababu wako mbali zaidi katika upande wa uchakataji wa taka za aina nyingi ikiwemo karatasi.
Uzoefu wao unatupa fursa ya kuona thnakosea wapi sisi k**a kampuni ili tuweze kufanikiwa zaidi.
Shukrani za dhati kwa ushirikiano mkubwa wanaotupa.♻️
Kujifunza hakujawahi kuishi ni kuweka utayari tu wa kubadirika 🙏