18/02/2024
Hello guys How are you nadani Kila mtu Ako swa wandugu zangu nataka niwambie hii Dunia Iko na mambo
So ilikua tarehe 28 mwezi wa kwanza ilikua Monday nilikua nimetoka shughuli zangu nikafika kwanyumba nikapika kanyama Yani kamuchuzi Sasa nikakula nikaenda kuoga so nikapata ajali nikahanguka kwabafu so kuhanguka nikasikia muguu umejikunja kumbe musipaa umekatika kutoka kwabafuu jaman naingia kwa nyumba nikapotezaa pumuzii nilijipata hospital nimeshonwa Sasa naomba Kila mtu ambao amesoma hii history akienda bafuu pata 1 minute uombe mungu manaa Kila mahali satani apoo (amen)