Michezo

Michezo UCHAMBUZI

12/01/2025
14/08/2024

Kwa Tanzania Football Federation – Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!

24/07/2024
24/07/2024

Kwa AzamSports – Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!

18/07/2024

Wananchi Yanga SC wameondoka leo kwenda Afrika Kusini, Jumamosi hii, watakuwa dimbani kucheza mechi na miamba ya Bundesliga, FC Augsburg

Mtanange huu ni moja ya mechi za Mpumalanga Premier's International Cup 2024

Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara

18/07/2024
18/07/2024

Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024.

18/07/2024

MMESIKIA HUKO?
Zipo ripoti zinazodai kuwa Israel Mwenda anataka kuondoka ndani ya kikosi cha wekundu wa msimbazi na inaelezwa amepata chaguo jingine ambalo ni kujiunga na Singida Black Stars.
Ikumbukwe Israel Mwenda alikua mchezaji wa mwanzo kusaini Mkataba mpya na Simba katika dirisha hili la usajili mnamo Juni 25 2024 ambao angeutumikia hadi mwaka 2026.
Taarifa za ndani ni kwamba Israel Mwenda ameamua kuondoka kufuatia kubaini kuwa Shomari Kapombe anaendelea kusalia katika kikosi hicho.
Israel Mwenda hajawa na uhakika wa kupata nafasi ya kucheza kutokana na uwepo wa Kapombe na inaonekana kijana anataka kuhakikishiwa nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza.
Inawezekana kabisa maamuzi ya Israel Mwenda kutaka kiondoka ndiyo yamewalazimu Simba kuitafuta saini ya Kelvin Kijiri kuja kusaidiana na Kapombe katika mbavu ya kulia.
Swali ni je,Israel Mwenda ameshindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza kwakuwa amezidiwa uwezo au anahisi ana uwezo zaidi ya Kapombe?
Je Israel ameshindwa kutumia kanuni inayosema changamoto haikimbiwi bali inapaswa kuigeuza kuwa fursa?au tumuelewe kijana kuwa amevumilia vya kutosha?
Kwa taarifa zaidi follow page ya _wa_bongo

Address

Wana. Michezo
Tanga
KUHUZURIY

Telephone

+255786456406

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share