fadhikweka

fadhikweka Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fadhikweka, Shopping & retail, Zanzibar Conservation Centre (Old Customs House) Mizingani Road, Stone Town.

Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:1: Dodoso la Jamii2: Dodoso l...
21/08/2022

Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:
1: Dodoso la Jamii
2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi
3: Dodoso la Makundi Maalum
4: Dodoso la Majengo

1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa huduma za kijamii ktk eneo lake. K**a zipo basi karani atambatana na kiongozi wa kitongoji au mtaa kwenda kwa mkuu wa taasisi husika kwenda kumuhoji mambo yanayohusu huduma hiyo. Huduma za kijamii ni k**a vile soko, maeneo ya huduma za afya, elimu, mitandao ya mawasiliano na taasisi za dini kwa maana ya misikiti na makanisa. Pia litahoji vitu k**a mabadiliko ya tabia za nchi, matukio mbalimbali katika eneo husika n.k.

Dodoso la jamii litahojiwa siku 2 kabla ya siku ya sensa. Yaani litaanza kuhojiwa tarehe 21 hadi 22 Agosti 2022.

2. Dodoso la Makundi Maalum
Katika kuhakikisha kila mtu anahesabiwa na anahesabiwa mara moja tu basi hata watoto wa mitaani ambao hawana makazi, wasafiri ambao walilala stendi, makambi ya wavuvi na wachoma mkaa n.k. wote watahesabiwa kwa kutumia Dodoso la makundi maalum. Makundi haya yatajumuisha pia Askari wetu ambao siku ya sensa itawakuta wakiwa wanalinda mipaka ya nchi yetu. Makarani watakuwepo maeneo ya makundi maalumu saa sita usiku. Yaani, Dodoso hili litaanza kuhojiwa saa sita usiku wa tarehe 23/08/2022.

3. Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi. Hili linaitwa Dodoso kuu. Linakadiriwa kuwa na maswali 100. Ni mengi lakini hayachoshi maana ni mahojiano ya ana kwa ana (face - to - interview).
Dodoso hili litahojiwa kwa kila kaya.

Hapa naomba nifafanue maana ya kaya. Kaya ni mtu au watu ambao huwa wanaishi pamoja na kula pamoja. Kaya sio sawa na familia. Familia huwa ni ya watu wenye undugu, lakini kaya inajumuisha watu wote wanaoishi na kula pamoja hata k**a hawana undungu.

Kwenye Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi ndipo pana swala la kuhesabu watu waliolala kwenye kaya siku ya kuamkia siku ya Sensa (23/08/2022).

Nani ahesabiwe na nani asihesabiwe?

Nani ahesabiwe?
Kila aliyelala na kuamkia siku ya sensa tarehe 23 Agosti 2022 ndani ya mipaka ya Tanzania. Hii haijalishi uraia wake, ilimradi tu amelala na kuamkia nchini Tanzania.

Hapa ifaha

💫🙋‍♂️
17/06/2022

💫🙋‍♂️

05/06/2022

Good is good 👍

03/04/2022

Gwanzu

Nakutakia Happy Valentine Day Ya Upendo Na Amani
14/02/2022

Nakutakia Happy Valentine Day Ya Upendo Na Amani

Big tour
16/01/2022

Big tour

10/01/2022

Happy birthday my dear mwanangu

💝
16/08/2021

💝

24/04/2021
NIWATAKIE mfungo mwwma
15/04/2021

NIWATAKIE mfungo mwwma

Address

Zanzibar Conservation Centre (Old Customs House) Mizingani Road
Stone Town
P.O. BOX 3892

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fadhikweka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share