Essma Excellency Company

Essma Excellency Company am selling all cosmetics products call us 0783975752

Furaha ni chaguo, sio matokeo. Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague kuwa na furaha. Hakuna mtu atakayekufurahisha ha...
17/10/2024

Furaha ni chaguo, sio matokeo. Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague kuwa na furaha. Hakuna mtu atakayekufurahisha hadi uamue kuwa na furaha.
😍😍

"Ukishakua mkubwa uache tu kubishana na watu, kwani ukimya ni hekima tosha kwa mtu ambaye anataka mshindane nae kimaneno...
09/05/2024

"Ukishakua mkubwa uache tu kubishana na watu, kwani ukimya ni hekima tosha kwa mtu ambaye anataka mshindane nae kimaneno.

Ndugu kubishana sana na watu hakuna faida, bali ni kuuchosha mdomo wako na akili yako. Fikiria nini ufanye kipi usifanye full stop.✍️

😥kumbuka wachafu wengi wanatabia ya kuvaa nguo safi.

"Kuna wakati wewe tia pamba masikioni,jifanye huoni,husikii na hata wakiwa na uhakika umesikia jifanye hujaelewa,Usipoam...
26/03/2024

"Kuna wakati wewe tia pamba masikioni,jifanye huoni,husikii na hata wakiwa na uhakika umesikia jifanye hujaelewa,Usipoambiwa wala Usiulize,jifunze tu kutokujali vitu vinavyokukwaza,huwezi kuyabeba yote ya kwenye hii dunia peke yako,Anza kuupa Moyo wako, mapumziko ya lazima kwa kupunguza usiyoyaweza✍️🤝

"Muda ni pumzi ya ulimwengu, muda ni maisha ukiuchezea unachezea maisha. Watu waliofanikiwa na matajiri ni masikini wa m...
19/07/2023

"Muda ni pumzi ya ulimwengu, muda ni maisha ukiuchezea unachezea maisha.

Watu waliofanikiwa na matajiri ni masikini wa muda, masikini ni matajiri wa muda. Matajiri ni bahili sana wa muda wao na wanahakikisha haupotei ila masikini wana muda wa kutosha kumgawia kila mtu isipokuwa wao yawenyewe.

Masikini hana adabu na muda anazidiwa na Ng'ombe anayeamua kutembea akijisaidia ili aokoe muda. Masikini anapatikana hana mpango. Maisha ya masikini walipaswa kuishi matajiri"

Address

Singida
Singida

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Essma Excellency Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Essma Excellency Company:

Share