Liza Swai

Liza Swai Ukurasa wako ,Wakati wako mzuri wa Kuelimishwa na BLACK DOT

MacBook Air (early 2013-2015)RAM 4GB SSD 228Refurbished ✅ Clean as NewMacOs 12- Monterey ✅------------------------------...
25/07/2023

MacBook Air (early 2013-2015)
RAM 4GB SSD 228
Refurbished ✅ Clean as New
MacOs 12- Monterey ✅
------------------------------
BEI - 650,000/=
Tuko Mwanza- Mtaa wa Karuta
Nicheki call/Whatsapp 0699 593 245
--------------------------
Wahi sasa, Hii ni yakwenda

MacBook Air (early 2013-2015)RAM 4GB SSD 228Refurbished ✅ Clean as NewMacOs 12- Monterey ✅------------------------------...
24/07/2023

MacBook Air (early 2013-2015)
RAM 4GB SSD 228
Refurbished ✅ Clean as New
MacOs 12- Monterey ✅
------------------------------
BEI - 650,000/=
Tuko Mwanza- Mtaa wa Karuta
Nicheki call/Whatsapp 0699 593 245
--------------------------
Wahi sasa, Hii ni yakwenda

13/01/2022

IJUE MBEGU BORA WA KUKU AINA YA KUROILER
Kuroiler ni aina ya kuku asili ya India.(common sana nchini India). Kuku hawa walianza mnamo mwaka 1990 ni kuku mchanganyiko wa

1. Broliler male + Female Rhode island red
2. White leghorm male + Female Rhode island

Ni mbegu bora sana inayojulikana kwa uvumulivu wa kustahimili mazingira yoyote hata yale magumu. Wanahimili magonjwa na unaweza wafuga kienyeji na kukupa matokeo mazuri sana. Hawaambukizwi magojwa kirahisi.Hutaga akiwa na miezi 5. Jogoo anaweza kufikia kilo 5 akiwa na miezi 5 na mtetea 3.5. Wanasifa ya kutaga mayai kwa wingi wastani wa mayai 250 - 300 kwa mwaka.Mayai yao yanakiini cha njano k**a wa kienyeji.

03/01/2022

MFAHAMU KUKU AINA YA KUCHI
Ni kuku warefu kwa umbo na wenye kusimama mgongo ukiwa wima. Wana manyoya machache mwilinini na hasa kifuani, vilemba vyao ni vidogo. Majogoo huwa na wastani wa uzito wa Kg. 2.5 na mitetea kg 1.5 mayai ya kuchi yana uzito wa wastani wa gm 45. Ni moja ya jogoo mzuri sana

Kuna Vitu ile roho inapendana macho yanakubaliChukua kiatu poa  kwa bei safiNicheki Whatsapp kwa mawasiliano👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿...
21/09/2021

Kuna Vitu ile roho inapenda
na macho yanakubali
Chukua kiatu poa kwa bei safi
Nicheki Whatsapp kwa mawasiliano
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 [Mwanza Mjini delivery free]
wa.me/255764346290

AKILI MTU WANGU, Akili
17/09/2021

AKILI MTU WANGU, Akili

08/09/2021

Kwa mkulima anayechukulia kilimo k**a biashara, ni muhimu ajiulize je, ni wakati gani wa kupanda? Kwa wakulima wengi jawabu linalokuja kwa fikra zetu mara moja ni wakati wa mvua. La hasha! Wakati mzuri wa kupanda unatambulika vyema tunapozingatia mambo fulani katika soko https://bit.ly/3tmH9ma

24/10/2020

Business is Booming Order Online Now , check our Catalog

https://wa.me/c/255764346290

Learn more about their products and services

Kadeti original zakuvutika Size 30-40Mwanza unaletewa ulipo mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja
15/10/2020

Kadeti original zakuvutika
Size 30-40
Mwanza unaletewa ulipo mikoani tunatuma kwa gharama ya mteja

Boyfriend jeans //Wadada
18/08/2020

Boyfriend jeans //Wadada

Address

Mwanza
Mwanza
0000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Liza Swai posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Liza Swai:

Share