SANI Products

SANI Products Sabuni za mche k**a jamaa, mwani, mchele, na sabuni za karot. Tuko Mtwara
Sim +255784099998

Sani products ni Campuny ya uzalishaj na usambazaji wa bidhaa k**a vile:
Maziwa ya korosho, Siagi za korosho, biskut, ubuyu wa vipande na wa Zanzibar wa pilipili.

07/05/2026

“Biashara inayolipa inaanzia kwenye maamuzi sahihi. Chukua hatua leo.”
“Tunathamini kila uthubutu wako"
Hakika tuko hapa kukuwa pa1.
Namb yetu ya ofisi +255784099998

Link hii hapo juu inakupeleka moja kwa moja kwenye darasa la viwanda.Utajifunza kutengeneza bidhaa nying sana ukiwa nyum...
25/04/2026

Link hii hapo juu inakupeleka moja kwa moja kwenye darasa la viwanda.
Utajifunza kutengeneza bidhaa nying sana ukiwa nyumbani.
Mfn. Sabuni za jamaa Za magadi Magaza kopo Sabuni za unga Sink and tiles Window cleaner Santaizer Siagi za korosho Maziwa ya korosho Batiki Upishi wa keki za harusi na birthday Mafuta ya mgando Mishumaa
Na nyingine nyingiiiiiii.
Mafunzo kuna offa za kutosha.

Gusa link, upate afya ya ubongo.

https://chat.whatsapp.com/EbpxmiVubRx1Kgc93PfxYZ?mode=gi_t

24/04/2026

Tunaendelea kutoa mafunzo kwa wajasiliamali lengo likiwa ni kuongeza afya ya mfuko na kukufanya umiliki kiwanda kidogo nyumban kwako.
Chaguo sahihi kwa furaha ya baadae.
bofya hapa kukupeleka kwenye WhatsApp moja kwa moja
https://wa.me/255784099998

Bado nafasi chache kutimiza idadi iliyokusudiwa kwa AGENTS au wakala wa bidhaa za SANI.kumbuka malipo ni kila mwezi, wik...
16/04/2026

Bado nafasi chache kutimiza idadi iliyokusudiwa kwa AGENTS au wakala wa bidhaa za SANI.
kumbuka malipo ni kila mwezi, wiki au pale tyuuuu unapomaliza kuuza bidhaa kwa target uliyopewa ofcn.
popote ulipo nicheck kwa namb hii WhatsApp au kawaida
+255784099998 au +255710718098

Mtwara kucheeeeeeeeeele!!!!!!sasa tuko live kwa kasi ya 5G.kwako ww mpambanaji mwenye kuona fursa hii adhimu,  njoo ujiu...
16/04/2026

Mtwara kucheeeeeeeeeele!!!!!!
sasa tuko live kwa kasi ya 5G.
kwako ww mpambanaji mwenye kuona fursa hii adhimu, njoo ujiunge nasi ktk kufanya kaz ukiwa k**a AGENTS na kulipwa kila wiki au kila unapomaliza kuuza bidhaa.
Mjini, , , , , na sehm za jiran wooote.
Tupigie simu au WhatsApp +255784099998

Address

Mtwara Airport
Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SANI Products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share