Myson Jr..Pamba kali

Myson Jr..Pamba kali Nimuuzaji wa nguo za dukani na zamtumba
Karibuni sanaaa wateja zangu Kwa Myson or Alex Pamba kali

Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipang...
21/02/2024

Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA. Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!! Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani .........................

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Myson Jr..Pamba kali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share