Dalali Wako Mbeya

Dalali Wako Mbeya jitapatie nyumba, magari, viwanja

05/02/2022

jipatie kiwanja kilichopimwa kwa shilingi milioni 5 tuh pamoja na hati maeneo ya isyesye na iwambi mbeya mjini💥💥
kwa mawasiliano piga simu 0742 228 902

kiwanja kiwanja kiwanja kinauzwa ituha - jijini mbeya.kiwanja kipo karibu na jifunzeni high school , na ilomba sekondari...
01/02/2022

kiwanja kiwanja
kiwanja kinauzwa ituha - jijini mbeya.
kiwanja kipo karibu na jifunzeni high school , na ilomba sekondari
kishajengwa msingi
karibu wasiliana nami kupitia namba hii 0742 228 902 Mbeya Real estate "online Sales"

Kiwanja kinauzwa isyesye mbeya mjinikiwanja kinaukubwa wa square meter 360kipo umbali wa meter 200 kutoka barabara ya la...
27/01/2022

Kiwanja kinauzwa isyesye mbeya mjini
kiwanja kinaukubwa wa square meter 360
kipo umbali wa meter 200 kutoka barabara ya lami ya ilomba - isyesye road.
huduma zote za kijamii zipo
kinauzwa mil 6 tuh.
kwa mawasiliano piga 0742 228 902
realestate.co.nz Mbeya Real estate "online Sales" MBEYA YETU VITU USED UZA NA NUNUA

Pagala linauzwa, lipo shewa mchangani- Mbeya jijiPagala lina vyumba vitatu vya kulalaSebuleDining roomna StorePia lipo k...
26/01/2022

Pagala linauzwa, lipo shewa mchangani- Mbeya jiji
Pagala lina vyumba vitatu vya kulala
Sebule
Dining room
na Store
Pia lipo kwenye uwanja wa miguu 30 kwa 20
barabara, umeme, na maji vyote vipo
karibu umiliki pagala na kiwanja shewa kwa bei chee
kwa mawasiliano zaidi piga namba 0742 228 902
MBEYA YETU UZA NA NUNUA
WANYAKYUSA ndani ya MBEYA JIJINI MBEYA
Mbeya Real estate "online Sales"

Kwa shilingi Laki tisa(900,00p), miliki kiwanja kilichopimwa Nduli Iringa karibu na uwanja wa Ndege. Laki 9 yako unapata...
25/01/2022

Kwa shilingi Laki tisa(900,00p), miliki kiwanja kilichopimwa Nduli Iringa karibu na uwanja wa Ndege. Laki 9 yako unapata hadi hatimiliki.
kiwanja kina ukubwa wa square meter 600.
kwa mawasiliano zaidi piga simu hii 0742228902

Viwanja vilivyopimwa vinauzwaviwanja vipo iwambi- mbeya jijivinauzwa kwa square meter moja ni 12,ooo/=gharama zake zinah...
22/01/2022

Viwanja vilivyopimwa vinauzwa
viwanja vipo iwambi- mbeya jiji
vinauzwa kwa square meter moja ni 12,ooo/=
gharama zake zinahusisha na gharama za hati
karibu umiliki kiwanja kilichopimwa sasa
huduma zote za kijamii zipo k**a maji, umeme, shule n.k
kwa mawasiliano piga namba 0742228902

viwanja vilivyopimwa vinauzwaviwanja vipo isyesye- mbeyakaribu na shule ya sekondari ya ulambya.kwa mawasiliano zaid pig...
16/01/2022

viwanja vilivyopimwa vinauzwa
viwanja vipo isyesye- mbeya
karibu na shule ya sekondari ya ulambya.
kwa mawasiliano zaid piga simu hii 0742 228 902

Kiwanja kinauzwa Ituha- Jijini mbeya.kipo jirani na shule ya msingi nsongwi.huduma zote za kijamii zipo umeme na maji ni...
15/01/2022

Kiwanja kinauzwa Ituha- Jijini mbeya.
kipo jirani na shule ya msingi nsongwi.
huduma zote za kijamii zipo umeme na maji ni uhakika
bei ni mil 3.5 mazungumzo yapo😊
kwa mawasiliano zaidi piga 0742 228 902

Address

Mwanjelwa
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali Wako Mbeya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dalali Wako Mbeya:

Share