Isack boy classic agent

Isack boy classic agent Isack

ONDOA MAUMIVU YA MGONGO, KIUNO NA ONGEZA UTE UTE KATIKA VIUNGO (JOINTS).Tatizo la maumivu ya Mgongo, Kiuno, na ukosekana...
28/06/2020

ONDOA MAUMIVU YA MGONGO, KIUNO NA ONGEZA UTE UTE KATIKA VIUNGO (JOINTS).

Tatizo la maumivu ya Mgongo, Kiuno, na ukosekanaji au kupungua kwa ute ute lainishi katika maungio au joints lilikuwa likijitokeza zaidi kwa watu wazima lakini kwasasa linakuwa likijitokeza kwa watu wa rika zote.
Zipo sababubu nyingi ambazo hupelekea kutokea kwa changamoto hizi, ikiwamo.
Mwili kukosa virutubisho muhimu ambavyo husaidia kuongeza uzalishaji wa uteute huo,
Kuwepo kwa mafuta mengi katika mwili na katika mishipa ya damu ambayo huzuia mzunguko mzuri wa damu katika mwili.
Kuwepo kwa kiwango kikubwa cha Cholesterol katika mishipa ya damu
Uzito uliopitiliza.
Kutofanya mazoezi mara kwa mara
Na sababu za umri kuwa mkubwa.

13/06/2020
AINA MBALI MBALI ZA UCHAFU WA UKENI USIO WA KAWAIDAKikawaida uke wa mwanamke una bacteria wa kawaida wazuri waishio kati...
22/05/2020

AINA MBALI MBALI ZA UCHAFU WA UKENI USIO WA KAWAIDA

Kikawaida uke wa mwanamke una bacteria wa kawaida wazuri waishio katika tunda hilo kwa ajili ya ulinzi.
Kitu chochote kitakacho haribu uwiano wa bacteria wa kawaida waishio katika uke kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi,Harufu, au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke.Hapa chini naonyesha aina ya uchafu unaotoka,Maana yake au chanzo chake na dalili ambazo zitatokea kwenye mwili wa mwanamke Husika ukiona una dalili hizo wai tiba na ushauri

1⃣ UCHAFU WENYE DAMU AU RANGI YA KAHAWIA
• Hi ni dalili ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na Mara chache ni dalili ya cancer ya servix au aina nyingine ya cancer iitwayo endometrial cancer. Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi uken na kuumwa nyonga.

2⃣UCHAFU WA NJANO AU KIJANI WENYE HARUFU MBAYA
• Endapo uchafu ukatoka k**a mapovu,wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya ,Hi ni dalili ya Trichomoniasis .Maambukizo ya (parasitic) yanayotokana na Ngono zembe.dalili ingine ni kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.

3⃣ UCHAFU MWEUPE ,WA NJANO AU KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI.
• Uchafu wa aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria (vaginosis) .Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu ,kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (v***a)

4⃣ UCHAFU WENYE RANGI YA MAWINGU AU NJANO
• Hi ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonerhea) mwanamke atatokwa na damu katikati ya Siku zake, Atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.

5⃣ UCHAFU MWEUPE MZITO K**A JIBINI
• Hi ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungas (yeast infection)
Na dalili zingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (v***a) Kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa

Je, wewe ni mwanamke unapitia changamoto za kiafya hasa afya ya uzazi kiasi cha kukata tamaa unahitaji kupata au kuongeza mtoto 🤱unashindwa kwasababu ya matatizo ya kiafya either Hormonal imbalance, kizazi kimelegea,mirija ya uzazi imezib

Karibun  sana wadau
19/05/2020

Karibun sana wadau

DALILI ZA AWALI ZA MIMBA CHANGAMwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. N...
08/05/2020

DALILI ZA AWALI ZA MIMBA CHANGA

Mwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.

Zifuatazo ndizo dalili za awali za mimba changa;

Maumivu kwenye matiti
Hii ni dalili ya kawaida ya ujauzito ambapo nguvu za homoni mwilini huongezeka wakati yai linavyopata “rutuba”, jambo ambalo huongeza wingi wa damu na kuyafanya matiti ya mwanamke kuvimba na kuwa makubwa isivyo kawaida.

Maumivu mwilini
Utaanza kusikia maumivu k**a vile unataka kuingia katika siku zako. Kwa kawaida hali hii hutokea wakati yai likiwa linasafiri kwenda katika chumba cha mimba. Hivyo, hali hiyo husababisha sehemu hiyo itanuke taratibu na kusababisha maumivu hayo.

Kutokwa damu bila kutegemea
“Wanawake wengi hufikiria kutokwa na damu kidogo ni dalili ya kuwa katika siku zao. Lakini, katika hali halisi, kutokwa damu kusikotegemewa, huwakumba asilimia 25 ya wanawake wakati wa kurutubika kwa yai,” iwapo utaona hedhi yako inakuwa fupi au inafanyika katika hali ambayo si ya kawaida, unashauriwa kwenda kufanya kipimo cha ujauzito.

Kuchoka
Unapojisikia kuchoka na kukosa raha, au kutaka hata kulala wakati ukiwa kazini, lazima ufahamu kwamba mwili wako unajirekebisha kuingia katika kipindi kipya cha mabadiliko.
“Tambua kwamba katika kipindi cha mwanzo cha ujauzito ni muda ambao mtoto tumboni huanza kutumia sehemu ya nguvu zako na hivyo kukuletea uchovu na usingizi”.

Chuchu kuwa nyeusi
Chuchu huanza kubadilika rangi yake kutokana na chembechembe za uhai (seli) kuanza kufanya kazi kwa nguvu zaidi. Hata hivyo, “Wanawake wenye ngozi nyeusi hawawezi kuiona dalili hii mapema hadi muda wa k**a wiki kumi zipite.”

Kichefuchefu
Hali hii huwapata asilimia 85 ya wanawake wanapopatwa na ujauzito, ambapo nyakati za asubuhi ndipo hasa hujionyesha.

Mwili kuvimba
Kuna wakati kupungua kwa nguvu za uyeyushaji chakula kunaweza kukusababishia kuona tumbo limevimba na nguo zikawa zinakubana kutokana na chakula kujaa ka

Mimi mpaka sasa nina msiba 😂😂😂😂😂😂😂 atajuta tu amekoda vyote mpaka alete mzaa na kifo tena watangaze kwa umma
04/02/2020

Mimi mpaka sasa nina msiba 😂😂😂😂😂😂😂 atajuta tu amekoda vyote mpaka alete mzaa na kifo tena watangaze kwa umma

 : Yanga SC 1️⃣vs Mtibwa Sugar 0️⃣⚽️Molinga 49’
02/02/2020

: Yanga SC 1️⃣vs Mtibwa Sugar 0️⃣
⚽️Molinga 49’

Samatta baba lao aston villa pak baba lao iyo tayr fainali ikiwa inamsubili mshindi kati ya man u na man cty mchezo amba...
28/01/2020

Samatta baba lao aston villa pak baba lao iyo tayr fainali ikiwa inamsubili mshindi kati ya man u na man cty mchezo ambao utachezwa kesho huko EIDTY

Address

Tunduma Border Post Nakonde Zambia
Mbeya
26887

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Isack boy classic agent posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share