Afya Bora

Afya Bora Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya Bora, Mbeya.

PIDUgonjwa wa Maambukizi PID ni nni?PID ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya k**e. Magonjwa ya maambukizi ya PID yanawe...
17/02/2020

PID
Ugonjwa wa Maambukizi
PID ni nni?
PID ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya k**e. Magonjwa ya maambukizi ya PID yanaweza kusababisha uharibifu wa wa kizazi, mirija ya uzazi,mayai na sehemu nyingine za njia za uzazi wa k**e ambayo ni sababu kuu ya kupata ugumba kwa wanawake.Inatokeawakati bacteria wa magonjwa ya kujamiana huingia ndani ya uke, kisha huenea ndani ya kizazi,mirija ya uzazi(fallopian tube) au ovari.

DALILI ZA PID
Dalili za PID zinaweza kuwa:
√ maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo.
√ maumivu wakati wa kukojoa.
√ maumivu wakati wa tendo la ndoa.
√ maumivu ya kiuno.
√ homa na uchovu.
√ kuharisha na kutapika.
√ Kutokwa na uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine unaharufu isiyo ya kawaida.
√ maumivu ya chini au upande wa kulia.
VISABABISHI VYA PID
Kwa kawaida mlango wa uzazi (cervix) inazuia bacteria ambao wameingia ukeni wasisambae sehemu zingine za ndani za uzazi k**a mlango wa uzazi cervix umepatwa na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiaana k**a kisonono na chlamydia.Mlango huo wa uzazi cervix unaathirika na unakuwa na uwezo mdogo wa kuzuia kusambaa kwa bacteria sehemu za ndani za uzazi. PID inatokea pale vimelea vya magonjwa vinaposafiri kutoka kwenye mlango wa uzazi cervix kwenda sehemu za juu za uzazi. Asilimia 90 ya PID husababishwa kutokutibiwa ugonjwa wa kisonono na chlamydia.kutoa mimba au mimba kuharibika.
ONDOA WASIWASI PID HAINA NGUVU TENA WASILIANA NASI 0754682949.

PROGRAM YA KURUDISHA KIWANGO SAWA CHA SUKARI MWILINI NA KUIMARISHA AFYA YA MWILI.Sukari mwilini hutokana na vyakula pamo...
17/02/2020

PROGRAM YA KURUDISHA KIWANGO SAWA CHA SUKARI MWILINI NA KUIMARISHA AFYA YA MWILI.
Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili nguvu. Glukosi ni aina ya sukari ambayo huzipa chembe za mwili nishati. Hata hivyo ili glukosi iingie ndani ya chembe hizo inahitaji insulini. Insulini ni kemikali (Homoni) ambayo hutokezwa na kongosho (Pancrease).

Kisukari ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.
SUKARI SIYO UGONJWA WA KUDUMU.
Karbu tukusaidie kwa maelekezo zaidi 0754682949

 ☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana ha...
12/02/2020



☇bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.

☇kwa kiingereza hujulikana k**a piles.

☇na kitaalam hujulikana k**a haemorrhoids/piles

ZA BAWASILI

👉1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika k**a Thrombosed haemorrhoid.

👉2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa, na huwa haiambatani na maumivu.
☇Aina hii imeainishwa katika madaraja manne yafuatayo
👉Daraja la 1. Bawasili kutokea katika pahala pake pa kawaida
👉Daraja la 2. Bawasili kutoka wakati wa haja na kurudi yenyewe baada ya haja (kujisaidia)
👉Daraja la 3. Bawasili kutoka wakati haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha baada ya haja.
👉 Daraja la 4. Bawasili kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu kuirudisha baada ya haja.

HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
👉kushiriki penzi kinyume na maumbile
👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
👉kuharisha sana kwa muda mrefu
👉kutumia vyoo vya kukaa
👉kunyanyua vyuma vizito
👉mfadhaiko stress
👉uzito na unene kupita kiasi

ZA BAWASILI
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu

ZA BAWASILI
👉upungufu wa dam mwilini
👉kinyesi kutoka bila kujitambua
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
👉kupungukiwa nguvu za kiume kwa wanaume
👉kupungukiwa uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
??kupata tatizo la kisaikolojia

na Poteza kabisa Bawasili 0754682949

NGUVU ZA KIUME & CHANGAMOTO ZINAZOHUSIANA NA MFUMO WA UZAZZI KWA UJUMLA TUMIA LISHE NA VIRUTUBISHO EPUKA DAWA☎+255674929...
08/02/2020

NGUVU ZA KIUME & CHANGAMOTO ZINAZOHUSIANA NA MFUMO WA UZAZZI KWA UJUMLA
TUMIA LISHE NA VIRUTUBISHO EPUKA DAWA
☎+255674929363 👉Je, wewe ni mwanamume unayepata changamoto kufanya tendo la ndoa? 👉Je, wewe ni mwanamume unayewahi/ kumaliza haraka tendo ndani ya muda mfupi na kuchukua muda mrefu tena kupata hisia?
👉Je, wewe ni mwanaume unayeshindwa kurudia tendo la ndoa kabisa?
👉Je, unafahamu kuwa ukuaji wa tezi dume inaathiri nguvu za kiumme kwa wanamume wengi kuanzia miaka 35 na pia kuwafanya wawe kwenye hatari ya kupata kansa ya korodani?

Matatizo haya:
♻Yawezekana ni kwa sababu ya athari zitokanazo na kujichua,
♻️Inawezekana ni kutokana na umri mkubwa, magonjwa k**a vile kisukari na pressure, na uzito uliokithiri,
♻️Inawezekana ni kutokana na athari za dawa, kula vyakula visivyo na virutubisho ya kutosha, na pia
♻️Inawezekana ni kutokana na ubusy uliopitiliza, kazi ngumu za kila siku na msongo wa mawazo.

Nini cha kufanya!!!
Wengi huhitaji kutatua changamoto zao zinazohusiana na nguvu za kiumme na mfumo wa uzazzi kwa ujumla...matokeo yake hujikuta wakiangukia kwenye tiba zisizofaa na madawa hatari ambayo hua ni suluhisho la mda na baadae kuishia kwenye matatizo makubwa pamoja na kujutia.

Suluhisho la shida za namna hii ni kula vizuri na kutumia virutubisho hasa pale tatizo linapokua katika hali ya usugu. Kwa wale tayari wana changamoto, vipo virutubisho (supplements) ambavyo ni salama na mkombozi wa wenye kutaka kuondokana na changamoto za mfumo wa uzazzi. Virutubisho hivyo ni k**a; coffee+, , /7, phyto-energizer n.k.

Kwa ushauri, au kufaham zaidi kuhusu virutubisho vyetu;
Wasiliana nasi kwa Simu/sms
WhtsApp: +255754682949

Address

Mbeya

Telephone

+255754682949

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share