25/04/2021
Ukweli utabaki kuwa Ukweli tu..
umekuwa mchezaji bora sana tangu nianze kukufuatilia na kukushabikia na bado naendelea kuwa mshabik wako namba moja wakat wote..
Toka naanza kufatilia soka la bongo sijawah kuona full back ya kushoto k**a wewe na umekuwa mchezaji wa Mfano kwa wachezaj wenzako wa timu tofauti tafaut ndani ya Tanzania.
Leo hii ameandika maelezo mengi sana juu yako akiomba sisi mashabik tuendelee kukuomba usiondoke simba..
Nikwel na sisi tunaomba usiondoke simba bakia simba maana ndiko furaha yako inakopatikana k**a siyo kubak simba basi nenda nje na siyo kukuona vilabu vingine vya hapa bongo.
.....