Henry Sanga Official

Henry Sanga Official Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Henry Sanga Official, Shopping Service, Mbeya Mwanjelwa, Mbeya.

03/04/2026

UBAYA WA DHAMBI NA MADHALA YAKE

Yohana 11:1-3 (Biblia Takatifu)  Basi mtu mmoja alikuwa hawezi, Lazaro wa Bethania, mwenyeji wa mji wa Mariamu na Martha...
03/04/2026

Yohana 11:1-3 (Biblia Takatifu) Basi mtu mmoja alikuwa hawezi, Lazaro wa Bethania, mwenyeji wa mji wa Mariamu na Martha, dada yake.
Ndiye Mariamu yule aliyempaka Bwana marhamu, akamfuta miguu kwa nywele zake, ambaye Lazaro nduguye alikuwa hawezi.
Basi wale maumbu wakatuma ujumbe kwake wakisema, Bwana, yeye umpendaye hawezi.

21/02/2026

Zaburi 150:1, 5-6 (Biblia Takatifu) Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake.
Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya.

Address

Mbeya Mwanjelwa
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Henry Sanga Official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Henry Sanga Official:

Share