16/09/2021
IJUE LADHA YA ASALI YA NYUKI WADOGO
*Kwa mahitaji ya ASALI YA NYUKI WADOGO wasiliana nasi 0753504470/0713892438*
*Tunapatikana Mbezi Makabe, Dar es Salaam*
Kwa wale wasiojua ni kua ASALI YA NYUKI WADOGO ina ladha tofauti kabisa ukilinganisha na ASALI YA NYUKI WAKUBWA.
Asali hii ina ladha ambayo ni TAMU(sweet) na CHACHU( sour) kwa pamoja, au wengi tumezoea kusema ina ladha k**a ya LIMAO kwa mbali.
JE NINI KINASABABISHA LADHA HIYO??
Jibu ni PLANT RESINS( au kiswahili RESINI), huu ni ute ute ambao unatolewa na miti( angalia picha utaona, wengi wetu tumeshauona kwenye miti) na kuchukuliwa na NYUKI WADOGO ili
1. Kutengeneza ulinzi wa makao yao( hutumia kuk**atia wadudu na kuziba sehemu zilizo wazi)
2. Hutumia katika kutengenezea VIBUYU VYA KUWEKEA ASALI( nyuki wadogo huweka asali yao kwenye vyumba mfano wa vibuyu)
Kwa sababu hiyo bila kujua ASALI YA NYUKI WADOGO inaishia kuchukua ladha ya RESINS na kuifanya kua na ladha adimu kabisa.