23/05/2024
Kwa kutambua umuhimu wa malezi bora na matokeo yake ndani ya ngazi ya familia na jamii kwa ujumla.Tuliweza kuwafikia wazazi /walezi zaidi ya 500 waliofika shuleni hapo kwa ajili ya kikao kilichohusu uchangiaji wa ujenzi wa matundu ya choo.