MAJAN LTD

MAJAN LTD MAJAN ELECTRONICS NIWAUZAJI WAVIFAA VYA UMEME,TOOL MASHINE,VIFAA VYA UJENZI,NK

24/11/2025

Majan hardware

27/09/2025

Karibu mteja wangu wa nguvu

27/09/2025

Karibu dukani kwetu ofa ni nyingi

13/09/2025

Tukumbushane kidogo ndugu zangu.

09/08/2025

Karibu mteja tunauza pump za kuvuta maji kwenye visima na na mabonde

Tuna pump za boya na mhogo (tube)

0.5hp
0.75hp
1hp
1.5hp
2hp

Call
0678488641
0659712373

Mikoani kote zinafika

09/08/2025

Karibu dukani kwetu
0659712373
0678488641

02/08/2025

Karibu majani eletronics

0678488641
0659712373

01/10/2024
garamala bei ya jumala kabisa
15/09/2024

garamala bei ya jumala kabisa

15/09/2024

mfalme wa jangwa polly pipe tunaozo tena OG

TUZIJUE AINA ZA MAIN SWITCH, MAANA YA MAIN SWITCH.(1)AINA ZA MAIN SWITCH:Tuna aina kuu mbili za Main switch au kwa jina ...
24/08/2024

TUZIJUE AINA ZA MAIN SWITCH, MAANA YA MAIN SWITCH.

(1)AINA ZA MAIN SWITCH:
Tuna aina kuu mbili za Main switch au kwa jina lingine unaweza kuziita Distribution bord au Distribution fuse bord ambazo ni:

(a) SINGLE PHASE MAIN SWITCH au kitaalamu zaidi huitwa SINGLE PHASE NEUTRAL na kifupi chake ni (SPN)

(b)THREE PHASE MAIN SWITCH au kitaalamu zaidi huitwa THREE PHASE NEUTRAL na kifupi chake ni (TPN)

Main switch kwa jina lingine tulisema unaweza kuita DISTRIBUTION BORD ikiwa na ISOLATOR ndani (ON/OFF SWITCH) na ikiwa haina ISOLATOR ndani basi hubadilishwa jina na kuitwa DISTRIBUTION FUSE BORD.

(2) MAANA YA MAIN SWITCH:
Main switch, Distribution bord au Distribution fuse bord k**a jina lake linavyojielezea ni kifaa ambacho kinapokea Umeme kutoka kwenye chanzo kikuu iwe Umeme wa Tanesco, Generator au Solar na kusambaza kwenye vifaa kwa kupitia kwenye FUSE ambazo zina viwango tofauti katika uchukuaji na usambazaji wa current kwenye kifaa husika au circuit husika (FUSE CURRENT RATING)

Umeme kabla ya kuanza kutumika ndani huanzia hapo na ndiyo maana ikaitwa SWITCH KUU (MAIN SWITCH)
Main switch huundwa na vitu vinne hadi kukamilisha neno Main switch ambavyo ni:
(a) PROTECTIVE HOUSING
(b)ISOLATOR SWITCH
(c) CIRCUIT BREAKER
(d) MINIATURE CIRCUIT BREAKER (MCB) or FUSE

(A) PROTECTIVE HOUSING
Hii ni Nyumba ya Main switch ambayo imetengenezwa maalum kumlinda mtumiaji dhidi ya athari za kiumeme na kuundwa vyema ikiwa na muonekano bora wenye kuvutia. Ndani ya hiyo Housing ndiyo hubeba ISOLATOR SWITCH, CIRCUIT BREAKER na MINIATURE CIRCUIT BREAKER (MCB)

(B) ISOLATOR SWITCH
Hii ni switch ambayo huzima na kuwasha Umeme Manually pale unapotaka kufanya Service ya mifumo yako ya Umeme, kurekebisha short circuit etc. Pia kitaalamu Umeme ukitoka kwenye Main Source inashauriwa uanzie kwenye ISOLATOR SWITCH na si kuanzia kwenye CIRCUIT BREAKER sababu kuu ikiwa ni wepesi wa kufanya marekebisho kwenye CIRCUIT BREAKER pale Magnetic coil yake itakaposhindwa kufanya kazi.

(C) CIRCUIT BREAKER
Hiki ni kifaa kikuu cha Ulinzi wa nyumba yako dhidi ya Short circuit, Leakage za Umeme na ndiyo kifaa kitachoweza kukuokoa endapo kuna madhara makubwa ya kiumeme na kuiacha nyumba yako salama. Kifaa hiki hufanya kazi Automatically pale tu kunapotokea tatizo la Kiumeme iwe ndani ya mifumo yako ya Umeme au nje ya mifumo yako ya Umeme.

(D) MINIATURE CIRCUIT BREAKER au FUSE
Hizi ndiyo hugawa Umeme kwenye Circuit yako au vifaa vyako na hugawa umeme kwa kiwango cha Current rating kutegemea na matumizi ya Circuit husika. Pia MCB hufanya kazi ya kulinda Circuit moja moja dhidi ya Overload, Short circuit na inaweza kuwa msaidizi wa CIRCUIT BREAKER.

Technician from

majan eletronics

0659712373

Address

P. O. Box 214 Mafinga
Mafinga

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255659712373

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAJAN LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MAJAN LTD:

Share