Mwambe Mixer Shop

Mwambe Mixer Shop Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwambe Mixer Shop, BALEWA-LINDI, Lindi.

Tutakuwa na bidhaa za Of katika Kipindi cha Mwezi mtukufu wa Ramadan, Karibuni sana kwenye maduka yetu ya Mwambe yaliyop...
02/05/2019

Tutakuwa na bidhaa za Of katika Kipindi cha Mwezi mtukufu wa Ramadan, Karibuni sana kwenye maduka yetu ya Mwambe yaliyopo Mtaa wa Balewa Lindi Mjini

Haya kwa wale wazee wamitoko ya pamba Kali mzigo mpya umeingia bei zetu simple na chenji utarudishiwa tupo Lindi mjini m...
08/05/2018

Haya kwa wale wazee wamitoko ya pamba Kali mzigo mpya umeingia bei zetu simple na chenji utarudishiwa tupo Lindi mjini mtaa wa shk.bad/balewa

***PALE 'UNAPOGANDA' KUMSUBIRI ASIYEKUAHIDI***Karibu sana 'Mwambe Mixer Shop' kwaajili ya kujipatia Speare mbalimbali za...
07/05/2018

***PALE 'UNAPOGANDA' KUMSUBIRI ASIYEKUAHIDI***
Karibu sana 'Mwambe Mixer Shop' kwaajili ya kujipatia Speare mbalimbali za Pikipiki, Baiskeli nk kwa bei nafuu saana tena zenye ubora wa hali ya juu.

Lakini pia tuna nguo za kutokelezea kwa kila nyanja iwe wale wa misikitini, makanisani, mavazi special kwaajili ya harusi/sherehe k**a vile ndoa, birthday, partys etc, aidha tuna nguo special kwaajili ya sikukuu za kada zote

Kumbuka tuna nguo na viatu kwa kila rika yaani wakubwa na wadogo, weupe na weusi, warefu na wafupi, wanene na wembamba nk

Kumbuka;- Vyote hupatikana Jumla na Rejareja so Karibu saaana...

Tupo Mtaa wa Balewa - Lindi Mjini Tz, tufuatilie sasa kupitia mobile number 0717081280/ 0684100640

FOR BUSNESSISSUES PLEASE FOLLOW US THROUGH, MOBILE NUMBERS 0717 081 280/ 0684100640/ 0652920533 OR THROUGH THE BUSNESS C...
04/05/2018

FOR BUSNESSISSUES PLEASE FOLLOW US THROUGH, MOBILE NUMBERS 0717 081 280/ 0684100640/ 0652920533 OR THROUGH THE BUSNESS CARD BELOW.

YOURE MOST WELLCOME MWAMBE MIXER BECAUSE ''WE ARE YOU''

THANK YOU VERRY MUCH

Happy media day,
03/05/2018

Happy media day,

Njoo ujipatie Vifaa bora na vya Kisasa vyenye hadhi ya Kimataifa tena kwa bei nafuu kwetuTuCheck sasa kupitia 0717081280...
25/04/2018

Njoo ujipatie Vifaa bora na vya Kisasa vyenye hadhi ya Kimataifa tena kwa bei nafuu kwetu

TuCheck sasa kupitia 0717081280 & 0654920533

TEAM KAZINIKaribu uhudumiwe na Mwambe Mixer Shop, Tupo Lindi Mjini Mtaa wa Balewa...... Hatua chache tu kutoka Stand kuu...
23/04/2018

TEAM KAZINI

Karibu uhudumiwe na Mwambe Mixer Shop, Tupo Lindi Mjini Mtaa wa Balewa...... Hatua chache tu kutoka Stand kuu ya mabus Lindi

Wasililiana nasi kupitia;- 0717081280 au 0654920533

Wanadamu hatuna budi kufuata njia za Bwana wetu Yesu Kristo 'Mwana wa Mungu aliye hai' kwa kuelekea Kanisani
23/04/2018

Wanadamu hatuna budi kufuata njia za Bwana wetu Yesu Kristo 'Mwana wa Mungu aliye hai' kwa kuelekea Kanisani

Kitu pekee ambacho Allah s.w atakuwa radhi na sisis Walimwengu ni kumuabudu kupitia Nyumba tukufu ya Msikiti na kusoma k...
23/04/2018

Kitu pekee ambacho Allah s.w atakuwa radhi na sisis Walimwengu ni kumuabudu kupitia Nyumba tukufu ya Msikiti na kusoma kitafu kitukufu cha Qur-a'n

****KARIBU MWAMBE MIXER SHOP****

Ukifika Lindi Mjini usikose kufika Mtaa wa Balewa kwenye Duka la mitoko Bomba na ya Kisasa ya Jinsia zote ''Mwambe Mixer...
22/04/2018

Ukifika Lindi Mjini usikose kufika Mtaa wa Balewa kwenye Duka la mitoko Bomba na ya Kisasa ya Jinsia zote ''Mwambe Mixer Shop''

Picha ya hapo chini inamuonesha Mdada ambaye alisafiri kutoka huko Ndanda Mkoani Mtwara hadi Lindi na alipoingia Dukani kwetu alitokelezea kihivyo

Mwambe mixer shop ni wauzaji wa vifaa vya magari na pikipiki pamoja na nguo za aina zote.Tunapatikana Lindi Balewa piga ...
21/04/2018

Mwambe mixer shop ni wauzaji wa vifaa vya magari na pikipiki pamoja na nguo za aina zote.

Tunapatikana Lindi Balewa piga simu 0717081280 au 0684100640

Address

BALEWA-LINDI
Lindi

Telephone

+255654920533

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwambe Mixer Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share