IanShop

IanShop Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IanShop, Lindi.

Mzigo mpya umefikaVitenge vizuri havichujiKwa bei ya jumla ni elfu27 na rejareja ni elfu35Piga 0716538886
26/09/2022

Mzigo mpya umefika
Vitenge vizuri havichuji
Kwa bei ya jumla ni elfu27 na rejareja ni elfu35
Piga 0716538886

Shuka 2 na foronya 4Bei elfu 35Piga 0716 538886
18/09/2022

Shuka 2 na foronya 4
Bei elfu 35
Piga 0716 538886

Duvert 1 shuka 2 na foronya 2Bei elfu 65 Inakufikia Popote Kwa wakazi wa dar es salaam,Kwa gharama zangu,Kwa wa mikoani ...
14/09/2022

Duvert 1 shuka 2 na foronya 2
Bei elfu 65 Inakufikia Popote Kwa wakazi wa dar es salaam,Kwa gharama zangu,
Kwa wa mikoani utachangia nauli kidogo.
Piga 0716 538886
Karibuni Sana

Mashuka original kabsa hayo,ni mazito na Kwa ukubwa wake yanakaa vizuri kwenye kitanda na kuleta muonekano wa kuvutia.Ka...
13/09/2022

Mashuka original kabsa hayo,ni mazito na Kwa ukubwa wake yanakaa vizuri kwenye kitanda na kuleta muonekano wa kuvutia.
Karibuni

Blender ni 2 in 1Bei elfu 75Piga 0716 538886
13/09/2022

Blender ni 2 in 1
Bei elfu 75
Piga 0716 538886

Mashuka mazuri ,mashuka rangi zake za kizungu kabsa.Shuka hizi ni king size,Kuna Kuwa na shuka mbili (2)na foronya nne(4...
11/09/2022

Mashuka mazuri ,mashuka rangi zake za kizungu kabsa.
Shuka hizi ni king size,Kuna Kuwa na shuka mbili (2)na foronya nne(4)
Bei yake ni elfu 35.
Popote unatumia Kwa gharama za mteja
Piga au WhatsApp 0716538886

Karibuni sana mzigo huo hapo Kwa bei ya elfu 10 tu0716 538886
10/09/2022

Karibuni sana mzigo huo hapo
Kwa bei ya elfu 10 tu
0716 538886

Vigauni hvyo ni vizuri sanaBei yetu ni rahisi sana elfu 9 tuUkihitaji nipigie 0716 538886
10/09/2022

Vigauni hvyo ni vizuri sana
Bei yetu ni rahisi sana elfu 9 tu
Ukihitaji nipigie 0716 538886

Haya haya tena mashuka mazuri ndio hayo mashuka ya Uganda hayo ni bei rafiki kabsa achana na wale wanaowauzia elfu  sabi...
04/09/2022

Haya haya tena mashuka mazuri ndio hayo mashuka ya Uganda hayo ni bei rafiki kabsa achana na wale wanaowauzia elfu sabini,
Haya tunauza Kwa bei nafuu pesa ya kitanzania sh elfu 45.nicheck Whatsapp au piga 0716538886

Za watu wanene hzo Kwa bei rafiki tu
04/09/2022

Za watu wanene hzo Kwa bei rafiki tu

Vitenge vimerudi tenaKaribuni wateja zangu
02/09/2022

Vitenge vimerudi tena
Karibuni wateja zangu

02/09/2022

Ian shop tunatoa huduma za kusahidia watu wa mikoani. wanaotaka kununua vitu dar lakini wanashindwa Kuwa na huwakika wa kupata hzo bidhaa,Sisi tupo kusahidia kwenda kufuatilia bidhaa kabla hujalipia na sisi tutakusahidia mpka bidhaa inakufikia.wasiliana nasi 0716 53 88 86
Huduma hii ni Kwa mikoa yote

Address

Lindi

Telephone

+255716538886

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IanShop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share